Namna ya kujua baadhi ya daladala ni ya njia ipi kwa kuangalia abiria tu ukiwa Dar es Salaam

Ukiwa Dar waweza jua daladala ni ya njia ipi kwa kuangalia tu abiria wanaoshuka au kupanda. Ukiona daladala abiria wengi wamevaa madela na baraghashia nyingi na wanaongea sana hiyo daladala ni ya kuelekea Temeke.

Ukiona wanaopanda basi wengi wamevaa jeans na vimini hata vibibi vikiwa na vimini na vikaptula, hiyo daladala ni ya kuelekea njia ya Mikocheni, Masaki na Mwenge.

Ukiona daladala wengi wanaopanda ni weupe weupe na wana meno kama yameoza oza ni daladala ya kwenda Kimara.

Ukiona daladala ina watu warefu wengi na wengine wengi unawaona ni weusi sana na wote wanaonekana kama 'full time' wako serious usoni hiyo daladala ni ya kuelekea Gongolamboto.

Ukiona daladala jingine waliopanda wengi wafupi kwa kimo na wana sura za tabasamu tabasamu hiyo ni daladala ya kuelekea Kigogo
JF. Never boring
 
Temeke Wazaramo, wamwera, wamakonde
Mwenge Masaki TICK
Kimara Wezi
Kigogo Waluguru, wakaguru
Gongo la mboto washenzi
Keko wanyakyusa
Mwananyamala wasambaa
Buguruni wahaya
 
Kwa hii route ya Temeke dogo umeipatia hadi raha. Wanaongea sana halafu chapa madera.
Hata hii ya Kimara wala kitimoto umewapatia sana.
Sisi wangoni mbona hujatujulia?
 
Ukiwa Dar waweza jua daladala ni ya njia ipi kwa kuangalia tu abiria wanaoshuka au kupanda. Ukiona daladala abiria wengi wamevaa madela na baraghashia nyingi na wanaongea sana hiyo daladala ni ya kuelekea Temeke.

Ukiona wanaopanda basi wengi wamevaa jeans na vimini hata vibibi vikiwa na vimini na vikaptula, hiyo daladala ni ya kuelekea njia ya Mikocheni, Masaki na Mwenge.

Ukiona daladala wengi wanaopanda ni weupe weupe na wana meno kama yameoza oza ni daladala ya kwenda Kimara.

Ukiona daladala ina watu warefu wengi na wengine wengi unawaona ni weusi sana na wote wanaonekana kama 'full time' wako serious usoni hiyo daladala ni ya kuelekea Gongolamboto.

Ukiona daladala jingine waliopanda wengi wafupi kwa kimo na wana sura za tabasamu tabasamu hiyo ni daladala ya kuelekea Kigogo
😂😂😂
 
Nasikia wakazi wengi wa kigogo ni wapogoro kutoka Moro maana hao ndio maana wengi ni mbegu fupi.

Na leo nikitoka job nitapitia maeneo ya Kigogo Mburahati kuangalia kama naweza opoa mtoto mmoja.
 
kuna baadhi ya root ukipanda daladala zake unaweza shawishika kushuka bil kupenda kutokana na aina ya abiria waliomo
 
Back
Top Bottom