Namna ya kujua baadhi ya daladala ni ya njia ipi kwa kuangalia abiria tu ukiwa Dar es Salaam

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,910
51,902
Ukiwa Dar waweza jua daladala ni ya njia ipi kwa kuangalia tu abiria wanaoshuka au kupanda. Ukiona daladala abiria wengi wamevaa madela na baraghashia nyingi na wanaongea sana hiyo daladala ni ya kuelekea Temeke.

Ukiona wanaopanda basi wengi wamevaa jeans na vimini hata vibibi vikiwa na vimini na vikaptula, hiyo daladala ni ya kuelekea njia ya Mikocheni, Masaki na Mwenge.

Ukiona daladala wengi wanaopanda ni weupe weupe na wana meno kama yameoza oza ni daladala ya kwenda Kimara.

Ukiona daladala ina watu warefu wengi na wengine wengi unawaona ni weusi sana na wote wanaonekana kama 'full time' wako serious usoni hiyo daladala ni ya kuelekea Gongolamboto.

Ukiona daladala jingine waliopanda wengi wafupi kwa kimo na wana sura za tabasamu tabasamu hiyo ni daladala ya kuelekea Kigogo
 
Ukiwa Dar waweza jua daladala Ni ya njia ipi kwa kuangalia tu abiria wanaoshuka au kupanda.Ukiona daladala abiria wengi wamevaa madela na baraghashia nyingi na wanaongea sana hilo daladala ni la kuelekea temeke.

Ukiona wanaopanda Basi wengi wamevaa jeans na vimini hata vibibi vikiwa na vimini na vikaptula,hilo daladala ni la kuelekea njia ya mikocheni, masaki na mwenge. Ukiona daladala wengi wanaopanda Ni weupe weupe na wana meno kama yameoza oza ni daladala la kwenda kimara.

Ukiona daladala Lina watu warefu wengi na wengine wengi unawaona ni weusi sana na wote wanaonekana Kama full time wako serious usoni hilo daladala ni la kuelekea gongolamboto. Ukiona daladala lingine waliopanda wengi wafupi kwa kimo na wana sura za tabasamu tabasamu hilo Ni daladala la kuelekea kigogo.

Watu wa mbagala tunadharaulika sana
Ila Fresh one day yes Tu.
 
hahahah
 
Back
Top Bottom