Namna ya kujiunga na jeshi la polisi au magereza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namna ya kujiunga na jeshi la polisi au magereza

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by moseskwaslema, May 4, 2012.

 1. m

  moseskwaslema Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watanzania wenzangu naomba tusaidiane ktk hili,nina mdogo wangu kamaliza f4 na amepata 1v ya 28 anataka kujiunga na jeshi la polisi au magereza lakini hatujui huwa watu wanajiungaje kwani binafsi sijawahi kuona matangazo yao na criteria za kujiunga,naomba mnisaidie ndugu zangu.
   
 2. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,961
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  kwa jeshi la magereza anandika barua kwenda kwa mkuu wa gereza lililo jirani nae akiambatanisha vyeti vyake vya shule pamoja na cheti cha kuzaliwa urefu ft 5.6' kama kwa mjomba kuna kazi basi hata akipungua urefu poa tu,
   
 3. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 9,935
  Likes Received: 645
  Trophy Points: 280
  Huyo mdogo wako humpendi?
   
Loading...