Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,030
- 3,324
Saafi kabisa. Japo ume copy na ku paste
Mkono tu peke yake??Duh nimependa sana jamani nimetamani nikuone nikupe mkono wapongezi
Nimekuelewa vizur mkuu hongera kwa kutuonyesha njiaSiku zote kwenye interview "it's not about you its about them " wasifie uwezavyo... negative answers will always disqualify you! Kubwa kuliko yote "Don't and never kujaribu kuopondea sehemu ulizo wai kufanya kazi huko nyuma" Hasa ukiwa kwenye interview. Hata kama ulifukuzwa kwa figisu , umbea, roho mbaya... usi anze kuwa ponda past co-workers wako kwenye interview " oooh team leader wangu alikua na roho mbaya, mara manager alikua hataki kuniona mara ana nifatilia mno, supervisor wangu aliniundia njama " aisee ukisha sema haya tayari ume kwisha... keep it positive always!
Majibu ya interview: Nlishangaa sana swali la kwanza nliloulizwa , kwamba nnahitaji shi ngapi, den experience den elimu na hapo ndo ikawa mwisho wa interview , naombeni kuuliza hii imekaaje?SHUKRANI MKUU, DAA KESHO NAENDA KWENYE MY FIRST INTERVIEW SJAWAHI FANYA, NLIKUA NAOGOPA HILA BAADA YA KUCHUNGULIA HAPA NIMEPATA AMANI YA MOYO