Namna ya kuipata stika ya nenda kwa usalama kwa TZS 5'000 kuepuka faini ya TZS 30'000 kila unapokamatwa

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Wanabodi amani iwe kwenu.Tumshukuru MUNGU kwa kila jambo kutuamsha salama.


Naombeni msaada wa namna ya kupata stika ya nenda kwa usalama barabarani ili kuepuka usumbufu wa faini ya TZS 30'000 kila trafiki wanaponikamata. Wananisumbua sana.

Ikumbukwe wiki ya nenda kwa usalama imeshaisha.Nitapataje Stika hiyo ndugu zangu?
 
si walisema wanaanza na magari ya abiria school bus malori kwa gari ndogo bado au unaendesha gari gani mkuu kati ya hayo
 
Back
Top Bottom