Nonji Member Nov 22, 2017 24 8 Jun 11, 2019 #1 Habari wakuu? Naomba kufahamu namna ya kuhakiki vyeti vya kuzaliwa. Nimejaribu mara kadhaa kufungua account lakini inagoma. Naombeni msaada.
Habari wakuu? Naomba kufahamu namna ya kuhakiki vyeti vya kuzaliwa. Nimejaribu mara kadhaa kufungua account lakini inagoma. Naombeni msaada.
bright platnumz JF-Expert Member Feb 19, 2017 2,740 3,659 Jun 11, 2019 #2 shamp said: Fungua tena saiz inakubal Click to expand... Likini tunaanza upya?
Nonji Member Nov 22, 2017 24 8 Jun 11, 2019 Thread starter #3 shamp said: Fungua tena saiz inakubal Click to expand... Mkuu namba kwanza kufahamu kwamba nalipia ndo nijisajili au najisajili kwanza maana kwangu bado inagoma
shamp said: Fungua tena saiz inakubal Click to expand... Mkuu namba kwanza kufahamu kwamba nalipia ndo nijisajili au najisajili kwanza maana kwangu bado inagoma
Nonji Member Nov 22, 2017 24 8 Jun 12, 2019 Thread starter #4 shamp said: Ntakup somo kesho mkuu Click to expand... Asante mkuu. Naomba somo.