Namna ya kufanya research zisizo kuwa na utata

The Dreamer

JF-Expert Member
Feb 2, 2009
1,282
20
Wadau nimesoma report moja uko Daily News (Pamoja na chuki zangu kwa biasness ya hili gazeti) na nimependa matokeo ya utafiti yasiyoweza kubishiwa. Naamini kila mtu atakubaliana na mimi kwamba matokeo ni reproducible, methodology ni clear japo kuna matatizo madogo kama vile michango yenyewe haiko weighted (I mean unaweza ukachangia sana lakini ikiwa ni kuuliza vitu kama vile Waziri utanitembelea lini jimboni na upupu mwingine). Anyway issue hapa ni kusema REDET na SYNOVATE wana cha kujifunza

Bofya hapa
Daily News | Ndugai most active MP - Study


Mod: Hii inafaa kukaa hapa kwa sababu ni juu ya wanasiasa..usihamishe
 
Back
Top Bottom