Namna ya kufanya manunuzi Mtandani kwa kutumia Visa Card au Master Card

Erick Richard R-Madrid

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
399
279
Wenye uzoefu wa namna ya kufanya manunuzi ONLINE (Mtandaoni) naomba tuelekezane hapa. Tujulishane hatua unazotakiwa kuzifanya mwanzo mpaka mwisho kwa kutumia Card hizo.

ea320f41aad9b1f56a1a51722e55eb8f.jpg

Pia tujulishane utofauti uliopo kati ya Visa Card na Master Card, na ipi ni bora katika kufanya manunuzi bila usumbufu.

e283a6db5faf3a225ea2ca14d32e2c55.jpg

Shukurani wakuu
 
Nilipata kusikia kuwa mpaka uende Benki husika waiidhinishe kadi yako... Kwa ujuzi mwingine ngoja wajuzi waje
 
Wenye uzoefu wa namna ya kufanya manunuzi ONLINE (Mtandaoni) naomba tuelekezane hapa. Tujulishane hatua unazotakiwa kuzifanya mwanzo mpaka mwisho kwa kutumia Card hizo.

ea320f41aad9b1f56a1a51722e55eb8f.jpg

Pia tujulishane utofauti uliopo kati ya Visa Card na Master Card, na ipi ni bora katika kufanya manunuzi bila usumbufu.

e283a6db5faf3a225ea2ca14d32e2c55.jpg

Shukurani wakuu
Card zote zina fanya manunuzi bila matatizo mimi natumia UBA visa card kufanya malipo nikiwa naagiza mzigo nje bila shida yoyote,cha kufanya ni ww uwe na fedha ya kutosha kwenye card yako
 
Back
Top Bottom