Namna ya kuanzisha Radio station

Mtanzania2017

Member
Oct 13, 2017
14
4
Mambo vipi wadau naomba kuuliza namna ya kuanzisha Radio Station ni vitu gani natakiwa kuzingatia,taratibu za kufuata ni zipi na equipment zipi ambazo zinahitajika ilikuanzisha Radio Station ya kawaida tu pia Kwa makisio ya kawaida inaweza gharimu shingapi?
 
uwe specific Radio ya namna gani? FM AM au?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom