Namna ya kuanzisha kipindi kwenye runinga

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,877
2,758
Wadau nimejiwa na wazo hapa wakati natazama kipindi cha jicho letu star tv. Wazo la kuanzisha kipindi, mimi ambaye siko kwenye media. Ikiwezekana si lazima nikiendeshe mimi ila nikiratibu tu according ya kile ninachofikiri. Nataka kipindi kama kile cha dk 45 cha itv. Nawasilisha
 
dah! Hivi nikisema 'namna' bado sijaeleweka? Labda niseme 'procedure' za kuanzisha kipindi. Ni vitu gani nifanye na nani nimuone?
 
Back
Top Bottom