Namna ya kuachaa pombe, sigara na wanawake

Kumrudia mwenyezi Mungu, kuoa, kuwahi kurudi nyumbani mara baada ya kazi, kuwa responsible man in the family.
 
Kumrudia mwenyezi Mungu, kuoa, kuwahi kurudi nyumbani mara baada ya kazi, kuwa responsible man in the family.
Naishi Kibamba na ninafanya kazi mjini, muda wa kutoka foleni ni ndefu sana, nyumbani huwa nafika saa tatu kila siku. Hata marafiki zangu wa zamani siku hizi nimeachana ikiwa ni miongoni mwa mbinu ninazo dhani zitanisaidia
 
...swala hili linagusa watu wengi sana ndani ya jamii!

anayeweza atoe mbinu nzuri za kuyakabili mazoea haya
 
exercise,keep your body and mind occupied....
new hobbies like watching tv,spend some quality time with family,swimming kilimo etc.....
 
Mazoezi, kwenda movie na mke/mpenzi wako, fanya usafi home hata kama una msaidizi, lima bustani, ili ukitoka kazini uwe unawaza namna ya kuwahi kuangalia inaendeleaje, mambo mengi sana ukiamua, mie napenda bia ila hainiendeshi nainywa napopata nafasi, mara moja au mbili kwa wiki
 
bujibuji bana,pombe,sigara,nonino hahahahaha,mi nakushauri uache sigara,haya mengine yanaongeleka.
 
ukiona mtu hadi anauliza ujue kakamatika kweli kweli...Nenda kwa isack ndodi anadai anayo dawa ya kuacha pombe na fegi ila ya wanawake mzee sikushauri uache kuwa na mmoja...au unamaanisha ukicheche? Kama ndo hivyo bora uikate mkuu itakupeleka pabaya
 
ushauli wangu ni kuwa busy sana na mambo ya muhimu kama vile kilimo, kujisomea na kuachana namakundi uliyokuwa nayo karibu wakati wa ulevi, uvutaji wa sigara, etc
 
exercise,keep your body and mind occupied....
new hobbies like watching tv,spend some quality time with family,swimming kilimo etc.....

Jestina, maisha ya Dsm hayafai, tuna tatizo kubwa sana muda. Muda haututoshi, mabwawa ya kuogelea yako mbali tena nayo yanagfumgwa saa 12 na mashamba pia hatuna.
 
TBL ni walipa kodi wazuri, ukiacha kunywa pato la Taifa litapungua.
 
Jf imenifanya niache pombe na totoz, sigara sijawahi kutumia. Maana muda wote nikapata muda mie mie huperuzi kama pj wa clouds
 
Mshırıkıshe Mungu şuala lako pıa mazoezı muhmu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom