Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,864
- 155,818
Msaada tafadhali
Mie nilikuwa na udhaifu huo, lakini baada ya kujifunza maarifa ya UTAMBUZI nilimudu kuacha vyote na sasa nina ndoa imara na sisumbuliwi na anasa za dunia.....................Msaada tafadhali
Naishi Kibamba na ninafanya kazi mjini, muda wa kutoka foleni ni ndefu sana, nyumbani huwa nafika saa tatu kila siku. Hata marafiki zangu wa zamani siku hizi nimeachana ikiwa ni miongoni mwa mbinu ninazo dhani zitanisaidiaKumrudia mwenyezi Mungu, kuoa, kuwahi kurudi nyumbani mara baada ya kazi, kuwa responsible man in the family.
<br />...swala hili linagusa watu wengi sana ndani ya jamii!<br />
<br />
anayeweza atoe mbinu nzuri za kuyakabili mazoea haya
Msaada tafadhali
exercise,keep your body and mind occupied....
new hobbies like watching tv,spend some quality time with family,swimming kilimo etc.....