Namna ya ku-deleat Station ya TBC kwenye king'amuzi changu cha star times

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Sep 11, 2013
8,096
10,004
Wakuu wanateknolojia heshima kwenu. Mimi ni mwenyeji jukwaa la siasa huku ni mgeni nimekuja kwa shughuli moja. Maelekezo Tafadhali
 
me ntaka kujua kwenye kingamuzi cha dstv wakuu....msaada tafadhali...
 
Mkuu ningekua najua ningekuelekeza maana hata mimi nina shida kama yako.. Tafadhali tusaidieni wakuu tuiondoe hili li statioon

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Jamani wataalamu wanaojua hiyo kitu jitokezeni maana hata mimi nina shida hiyo hiyo.
 
Hii tutaiita operation tokomeza agent wa magamba, Tv yenyewe mchina mchina tamthilia za wajina et wanaongea kiswahili wapi na wapi kutwa tunaonyeshwa manguo ya kijani na hyo mpiga kelele wao Mnauye na pretender mwingine yule kinana safari hii utakuwa unapiga deki kabisa kwenye majumba ya watu
 
Nawasubiri! I hope mtakuja na jibu kamili
Hali yangu mbaya TBC wananipa mfadhaiko, msononeko na ugonjwa wa moyo
 
Back
Top Bottom