assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,903
- 4,051
Binafsi nimehuzunika sana kwa namna Demokrasia inavyouawa ila natoa mbinu mbadala zaidi ya maandamano na mikutano.
Kila mwezi wachague TV kubwa watoe mambo mbalimbali na namna ya kuyatatua. Mfano mkutano wa ndani lakini urushwe live, kuandaa kongamano kwenye hoteli na kuurusha live.
Mfano mzuri ni Malumbano ya Hoja ITV yamepata umaarifu sana. Msitumie njia moja.