Namna uchafu wa choo na sehemu anayolala mteja ilivyo hatari kwa biashara yako ya Lodge, Hoteli ama sehemu inayotumia choo cha ofisi kwa wateja wako

Digital base

Senior Member
Jul 19, 2020
126
189
Habari ya leo wakubwa,

Leo nimeona niwashirikishe hii changamoto ya uchafu watu wanao fanya biashara zenye matumizi ya choo kwa wateja wao inavo weza kuwa kikwazo cha kuwa na wateja wa kudumu baada ya kufika hapo kwa mara ya Kwanza.

Usafi wa mazingira ya eneo lako la biashara ni muhimu sana katika kukuza biashara yako japo wapo baadhi wana puuza hasa wanapo uza sana.

Tukizungumzia kwanza katika Lodge ama Hotel

Mteja ana kuja kula kwa mara ya kwanza kisha ana ingia Toilet hari ya choo anayo kuta huko ni chafu sana.

Japo kume fanyiwa usafi ila ni ule usafi wa kawaida unao fanyika kila siku kitu ambacho hakiwezi kubadili muonekano ulio zoeleka kwa siku zote.

Sink la choo lime fubaa na Tiles za ukutani na chini ni chafu sana kitu ambacho ni kinyaa kwa baadhi ya wateja inakuwa ngumu kutumia choo cha aina hiyo

Kama alikuwa na mpango wa kulala hapo ana ghairi maana mzingira ya choo aliyo yakuta yame badili wazo lake na hata kula harudi tena hapo

Mteja mwingine ame chukua chumba cha kulala ana kuta mazingira ya chooni ni machafu japo kume safishwa changamoto ni ile ile sink chafu,tiles za ukutani na chini ni chafu kitu ambacho kina mfanya asifurahie hata anapo oga.

Milango ya chooni inakuwa ni michafu ime ganda sabuni,juu kuna utando wa bui bui, dirisha la choo lina vumbi na kioo pia ni kichafu

Mteja anakuja kitandani kulala kunguni wana msumbua,mende wana tembea kwenye kabati la nguo,panya wana piga kelele chumbani kwa mteja

Mteja ana kosa usingizi tulivu kupumzika vizuri kwa mihangaiko yake

Katika hilo tegemea kumpoteza mteja huyo siku inayo fuata tu anaondoka hata Kama yupo kikazi hapo ata tafuta sehemu nyingine ya kulala

Hapo utakuwa ume poteza mteja wako mmoja wa kudumu huyo aliye ondoka,pili uta kosa network ya wateja walio nje na hapo ambao wange letwa na huyo mteja mmoja aliye ondoka

Ukija mazingira ya Bar,ama sehemu nyingine inayo toa huduma kwa jamii kibiashara

Katika maeneo ya kujisaidia haja ndogo kwa wateja wa kiume una kuta masink ni machafu, tiles ni chafu,mkojo una vuja kwenye pipe kitu kinacho sababisha harufu mbaya ya mkojo mpaka nje ya choo

Uchafu huo ni hatari kwa afya ya wateja wako hasa akina mama kuna uwezekano mkubwa kupata UTI na Kichocho pamoja na magonjwa yatokanayo na bakteria

Matokeo ya huo uchafu ni kukosa wateja ama kupunguza idadi ya wateja kila siku katika biashara yako kwa kuto zingatia usafi wa mazingira yako ya biashara

Mwisho wa siku una baki kulaumu biashara ngumu,wateja hamna na una punguza watumishi kwa kukosa uwezo wa kuwalipa maana huingizi pesa

MUHIMU:

Ikiwa una sumbuliwa na changamoto hiyo usijali,

Nnayo habari njema sana kwa ajiri yako

Mimi ni mjasiriamali nnaye jihusisha na kuwasaidia watu kuondokana na tatizo la uchafu sugu katika, Masink,Tiles,Vioo na Wadudu sugu kama vile mende, kunguni,panya n.k

Natoa Darasa la Bure kwa team yako ya usafi ofisini kwako kwa muda wa siku 3 bila malipo yoyote kwa njia ya WhatsApp na siku 1 ni siku ya kufanya kwa vitendo.

Ndani ya hilo Darasa nta fundisha

1. Sababu za Sink na Tiles kuwa na uchafu sugu ambao hauwezi kutoka kwa urahisi

2. Mbinu gani itumike na dawa gani itumike kung'arisha Tiles na Masink yaliyo fubaa ama kuwa na uchafu sugu

3. Nini kifanyike ili kudumisha muonekano wa mazingira ya eneo lako la biashara kuwa safi kama jipya kila siku

4. Njia Bora ya kuzuia wadudu kusambaa kutoka jikoni mpaka eneo wanapo lala wateja/chumbani kwako

5.Mbinu na Dawa za Kuangamiza wadudu wote katika eneo lako la biashara

6. Kutengeneza dawa yako mwenyewe kwa ajiri ya kuua wadudu walio shindikana kwa dawa za dukani

Je unge penda kuwa mmoja wa hilo Darasa?

Nitumie ujumbe WhatsApp 0787181643 uniambie una taka nikusaidie kutatua changamoto gani ?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom