Namna sahihi ya kutumia over drive kwenye gari automatic | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namna sahihi ya kutumia over drive kwenye gari automatic

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, Dec 29, 2009.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,251
  Likes Received: 15,039
  Trophy Points: 280
  Nimekuwa kwenye kipindi kigumu hasa kuhusu namna ya kutumia button ya overdrve kwenye gari yangu.
  Kuna mtu mmoja aliniambia niiache ikiwa inachungulia kidogo nje na kwenye dash board iwake taa inayosema overdrive off ndio matumizi sahii,
  mwingine pia akanipa ushauri kuwa niitumbikize ndani na kwenye dash board kitaa kisiwake hapo ndio ntakuwa nimeitumia vyema.
  Lakini hawa wote waliokuwa wananipa maelekezo hayo sio wataalam wa magari na wanasema wameelekezwa eitha na jamaa zao au marafiki.
  Wanajamii wenye ujuzu haswa wa magari, naombeni msaada wenu, nisije nkakaharibu kagari kangu kabla hata sijakafaidi kiasi cha kutosha
   
 2. Pundamilia07

  Pundamilia07 JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2009
  Joined: Oct 29, 2007
  Messages: 1,433
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Bujibuji,
  Ushauri wangu ni huu:
  Tafuta user guide ya aina ya gari yako then soma maelezo ya kina ya jinsi ya kutumia gari hiyo. You can google and have information you want at your disposable. Mambo mengi yameandikwa ni kuwekeza muda wa kusoma tu, ndiyo unachohitaji.
  (Ni bora yule anayekupa nyavu na kukufundisha kuvua kulikoni anayekuletea samaki)
   
 3. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #3
  Dec 29, 2009
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Hii kitu ishazungumzwa sana hapa, search utaipata hiyo thread. Ina maelezo mazuri na ya kina kabisa!!
   
 4. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #4
  Dec 29, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,282
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  mzee ulipotea kweli!stimu za jf ni kama zimekufa kabisa kwako TANGU INVIZIBO AKUPE BAN
   
 5. Glucky

  Glucky Senior Member

  #5
  Dec 29, 2009
  Joined: Dec 16, 2009
  Messages: 121
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  the rigth of using overdiver button is thiss.
  in normal drive like town the overdrive must be on. that meas the light will not appear on the dashboard.
  on high terrains, high mountain, or when you want to acchieve high speed on a short distance the overdrive should be off that means the light will apear on the dashboard.
  when you use overdrive on the following u will get as an advantages
  1. fuel cosumpiont will be loow
  2. trye will last longer
  3. engine life and gearbox life will last longer
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Dec 29, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,251
  Likes Received: 15,039
  Trophy Points: 280
  kama haitoshi..
  wacha nimwage shukrani zangu za dhati kwako.
  asante sana ndugu Glucky
   
 7. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #7
  Dec 29, 2009
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,264
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  magari mengi automatic yana gea mpaka 3 tu. ukitaka kupata gea zaidi, yaani nne na tano na kuendelea lazima u engage OD (overdrive)

  OD OFF (button inatokeza) ina maana overdrive haifanyi kazi hivyo gari inabadilisha gea mpaka 3. itumie kama speed yako haizidi 60 hivi
  OD ON (button inaingia ndani, na kitaa hakiwaki) ina maana overdrive inafanya kazi (engaged) na inabadilisha gea 4 na kuendelea. itumie kama safari yako utatumia speed zaidi ya 60 na kuendelea ili isaidie kupunguza ulaji wa mafuta nk

  jaribu kucheck kwenye net hasa wikipedia kuna maelezo mazuri
   
Loading...