Namna nilivyoweza kuacha POMBE, na kuamua starehe yangu iwe MSOSI

Ahsante sana mkuu. Ebu semà hamu ikija how you handle it.

Au ulikuwa una tumia kiasi gani maana naona umeacha kirahisi sana.
 
Ahsante sana mkuu. Ebu semà hamu ikija how you handle it.

Au ulikuwa una tumia kiasi gani maana naona umeacha kirahisi sana.
Changamoto za kupata kiu ya kupiga gambe naipata sana,ila najitahidi kuepuka mazingira yatakayo nishawishi kunywa pombe
 
Back
Top Bottom