Namna nilivyofunga ndoa kwa harusi nzuri na kubwa (ya ndoto yangu) bila kuchangisha wala kukopa

Nimependa kotee, ila pete za elfu 20 hapana, ikipauka navaa nn ss, pete si lak 5 tu za watu wawili
 
Ujinga tuu...rudini katk asili zenu, achen kuiga uzungu, mwishoe mnaarbu mambo kwa kuendekeza udunia na uzungu...simply harusi ilitakiwa imalizikie uko ibadani ambapo mkishafunganishana mapete, bas kila mtu atawanyike arudi kwake huku ninyi mliooana mnaenda magetoni/nyumban kuifaid ndoa, hizo habar za maukumbi na mapicha picha hotelin ni mbwembwe zakijinga ambazo lengo lake ni kuwafuraisha watu kwa siku moja, uku wew ukipukutika pesa na kubaki mtupu zaid ya kumilik picha zisizo na maana.....

Kuna umuhimu wa sie african kuachana na hizi mbwembwe za masherehe yasiyo na maana, hasa ukiwa na akili timamu na mwenye uchungu wa pesa, ni lazma ujue kusave money kwa kupuuza na kuachana na mambo yasiyo ya msingi il kupata furaha ya siku moja, mimi hata nikichangiwa pesa ya kufanya shughuri ya harusi, nitaandaa kamati alafu itakuja na majibu kiwa pesa zote nikafanye mtaji, na wote mliotoa.

Asanteni kwa Moyo wenu muendelee hivo hivo, but siku ya harusi tukutane kanisan/msikitini mapema sana saa3 asubuh alafu saa4 kila mtu aendelee na mishe zake za muhimu, hakuna hata kupoteza muda, siku hiyo hata mm nktoka kumvisha pete mtoto wa watu mchana wake nitaenda shamba kuandaa mavuno...hakuna kuendekeza ujinga
Kufanya sherehe na kujumuika pamoja na ndugu jamaa sio jambo baya!
Unafanya sherehe simple ya kufurahi kwa amani na wadau sio lazima uifanye kama watu wengine au kwa ulimbukeni..
Ni muhimu kufanya sherehe hutengeneza furaha na kumbukumbu
 
My future husband.. usidanganyike na haya .. yaani hutoeleweka. Sisi wahorombo hatunaga show mbovu wala ndogo
Usidanganyike.... kama hutaki changisha hakikisha una mfuko umenona..

Bia ziwepo, menu ziwepo, uviiri wa kutosha, henessy za wazee ziwepo etc. Kuhusu gari sijali sana hata tukapanda xt. Ila hapo ukumbini hapo.. we only live once... ni kwa furaha yangu na siyo kufurahisha dunia. Haitojirudia. Kukopa hatukopi ilaaa lazima tule gambe. Hv wakwe wako wasinywe bia kirahisi tu? Apaaa ndengaa

Katika yote hayo, wewe utachangia asilimia ngapi ya gharama?
 
Mimi nilioa kwa gharama ya 643000/-,Bado nadaiwa 87000 mpaka leo nalipa kidogokidogo Harusi Ilifunga mtaa mzima,Watu walikula mpaka wakabeba!!
 
Back
Top Bottom