He nani yupo nyuma ya hili tukio,nafikiri namba 1 adui wa Korea KaskazinKweli kabisa
Mi mwenyewe sijaelewa kitu.Sijaelewa hiyo video
Nop inategemea...Hao ni trained assasins mara nyingi wanakuwaga wanawake ni katili mno ila baada ya hiyo mission não huuwawa ili kupoteza ushahidi
Kuna sumu wame i develop wa israeri unapuliziwa kidogo nyuma ya sikio unalala usingizi ndio moja kwa moja iyo ni kama umepewa nusu kaputi ila wameku overdose ila kama wakikuwai kukupa ant dote yake unaponaSijaelewa hiyo video