Namna hii? Acha tu tusafiri na wake zetu

I like the way you think ki entaprunyuanyua ama mkuu alisemaje vile.

So tatizo sio kuzini, kuzini kunaruhusiwa as long as shida zake sio nyingi mpaka zikawa mzigo?

Shubaaaaaamit.
 
Ukishakula unarudi kwene value yako gafla! Akati ulkua unanyenyekea kama haus boi
Mkuu we acha tu hizi mambo...unakua kama lofa flani hivi na unakua huoni value ya unachokitoa ila ukipata mzigo majuto huja...Sasa mwenzetu hata mzigo hakupata na kahudumia inauma sana
 
Back
Top Bottom