Namna gani ya kupata uaskari wa bunge na bandari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namna gani ya kupata uaskari wa bunge na bandari

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by SIKAUKA MHAPA, Aug 27, 2012.

 1. SIKAUKA MHAPA

  SIKAUKA MHAPA JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 247
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Habari za kazi kazi wapendwa wangu, hata kama huna ajira hii nayo ya kubadilishana mawazo pia ni kazi, tafadhalini sana kwa mtu yeyote ambaye anafahamu kwa jinsi gani zile kazi za uaskali wa bunge na wale wa bandali wavyopatikana kwa sababu sijawai hata kuona matangazo ya kazi hizo gazetini wala redioni wala kwenye website zao.ila cha msingi ni kwamba ninazitaka kufanya kazi.
   
 2. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  kuwa wazi, kinachokusuma kutafuta kazi bunge ni hisia za mshahara mkubwa na bandari ni kupiga deal za wizi. Kama unapenda kazi ya ulinzi nenda jeshi la polisi utapangwa lindo huko unapopataka
   
 3. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Hebu mcheki makinda atakusaidia. Nb. Uwe mwanaume kamili.
   
 4. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #4
  Aug 28, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
Loading...