Namna gani ninaweza kupata leseni ya biashara?

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Jambo ndugu zangu

Kuna jambo nataka kuuliza

Hivi mgeni akitaka kuwekeza TZ ni vitu gani anahitaji kuwa navyo ili kupata leseni ya biashara?

Na kufungua bank account?

Na namna gani ninaweza kuvipata?
 
Jiandae zoezi gumu hilo

1. Uwe na TIN namba na kitambulisho cha NIDA

2. Nenda TRA ujaze fomu yao wakukadirie Kodi. Utaombwa na mkataba wa pango la ofisi / frem ya biashara waweze kupata kodi kwenye malipo uliomlipa mmiliki wa frem/chumba/nyumba utakayotumia kufanyia biashara.

3. Lipa Kodi uliokadiriwa kulingana na pato la biashara yako, kodi uliyo kadiriwa namba 2 hapo juu.

4. Pata Kodi clearance form baada ya kufanya malipo TRA kama namba 3 hapo juu ilivyoelekeza.

5. Beba TIN namba yako, TAX clearance certificate, nenda nayo ofisi ya halmashauri husika ofisi ya afisa biashara.

6. Afisa biashara atakupa fomu (inalipiwa) ya kuomba leseni ya biashara, utaenda kwenye ofisi ya kata ya eneo unalotaka kufungua biashara ,mtendaji kata atajaza nafasi yake kwenye hiyo fomu ya kuruhusu upewe leseni kufanya biashara husika kwenye kata anayoiongoza.

7. Chukua fomu iyo ambatanisha na TIN namba, TAX clearance form, kopi kitambulisho cha NIDA, rudi kwa afisa biashara atakupa bei ya leseni ya biashara hisika, lipia na ndani ya siku 3 utapata leseni yako.

CHANGAMOTO:
1. Ulipe Kodi pango la frem/ ofisi kabla ya kupata leseni.

2. Lipa kodi ya MAPATO kabla hujaanza biashara

3. Kiwango cha Kodi mara nyingi si kile kitokanacho na mtaji na kipato cha biashara ulichojaza kwenye fom bali ni uamuzi wa afisa mkadiria kodi

4. Ndani ya mchakato huo Kodi TRA Inasoma kuanzia tarehe uliyolipa, kuna biashara nyingine huchukua miezi mitatu kuiandaa, mfano kama ni MPESA, TIGO PESA na mitandao yote hawakupi line za kufanyia kazi adi upeleke TIN, Leseni na tax clearance ambazo mchakato wa kuvipata umetumia muda, na wao pia kuna makampuni mfano VODA line unaipata ndani ya miezi mitatu, kumbuka kodi Inasoma kwamba upo kwenye uzalishaji.
.....................
Timiza wajibu wako maendeleo hayana chama. KILA LA KHERI
 
4. Ndani ya mchakato huo Kodi TRA Inasoma kuanzia tarehe uliyolipa, kuna biashara nyingine huchukua miezi mitatu kuiandaa, mfano kama ni MPESA, TIGO PESA na mitandao yote hawakupi line za kufanyia kazi adi upeleke TIN, Leseni na tax clearance ambazo mchakato wa kuvipata umetumia muda na wao kuna makampuni mfano VODA line unaipata ndani ya miezi mitatu, kumbuka kodi Inasoma kwamba upo kwenye uzalishaji.

Dah acha ni baki nyumbani ni wachie matajiri kazi zao izo
 
Sasa mkuu mbona umempa utaratibu ambao ni kwa MZAWA, wakati yeye amesema ni kwa mgeni??kwa mgeni utaratibu ni tofauti sana kabla hajafikia kwenye huo uliompa!!kuna mlolongo nyuma huko kwanza , kuna kibali, cha ukazi/kufanya kazi, aende TIC.japo kwa sasa mlolongo sio wa kuchukua muda mrefu sana.labda kama ni mgeni kutoka burundi, Rwanda, kenya, uganda, na ni kufungua duka tu, la mangi, haina mzunguko sana.
 
Nadhani kwa hayo maelezo jamaa ameshawaza kuwa haitawezekana.
 
Sasa mkuu mbona umempa utaratibu ambao ni kwa MZAWA, wakati yeye amesema ni kwa mgeni??kwa mgeni utaratibu ni tofauti sana kabla hajafikia kwenye huo uliompa!!kuna mlolongo nyuma huko kwanza , kuna kibali, cha ukazi/kufanya kazi, aende TIC.japo kwa sasa mlolongo sio wa kuchukua muda mrefu sana.labda kama ni mgeni kutoka burundi, Rwanda, kenya, uganda, na ni kufungua duka tu, la mangi, haina mzunguko sana.
Kumbe ni mgeni!!asante kwa kuongeza palipopungua
 
Jiandae zoezi gumu hilo

1. Uwe na TIN namba na kitambulisho cha NIDA

2. Nenda TRA ujaze fomu yao wakukadirie Kodi. Utaombwa na mkataba wa pango la ofisi / frem ya biashara waweze kupata kodi kwenye malipo uliomlipa mmiliki wa frem/chumba/nyumba utakayotumia kufanyia biashara.

3. Lipa Kodi uliokadiriwa kulingana na pato la biashara yako, kodi uliyo kadiriwa namba 2 hapo juu.

4. Pata Kodi clearance form baada ya kufanya malipo TRA kama namba 3 hapo juu ilivyoelekeza.

5. Beba TIN namba yako, TAX clearance certificate, nenda nayo ofisi ya halmashauri husika ofisi ya afisa biashara.

6. Afisa biashara atakupa fomu (inalipiwa) ya kuomba leseni ya biashara, utaenda kwenye ofisi ya kata ya eneo unalotaka kufungua biashara ,mtendaji kata atajaza nafasi yake kwenye hiyo fomu ya kuruhusu upewe leseni kufanya biashara husika kwenye kata anayoiongoza.

7. Chukua fomu iyo ambatanisha na TIN namba, TAX clearance form, kopi kitambulisho cha NIDA, rudi kwa afisa biashara atakupa bei ya leseni ya biashara hisika, lipia na ndani ya siku 3 utapata leseni yako.

CHANGAMOTO:
1. Ulipe Kodi pango la frem/ ofisi kabla ya kupata leseni.

2. Lipa kodi ya MAPATO kabla hujaanza biashara

3. Kiwango cha Kodi mara nyingi si kile kitokanacho na mtaji na kipato cha biashara ulichojaza kwenye fom bali ni uamuzi wa afisa mkadiria kodi

4. Ndani ya mchakato huo Kodi TRA Inasoma kuanzia tarehe uliyolipa, kuna biashara nyingine huchukua miezi mitatu kuiandaa, mfano kama ni MPESA, TIGO PESA na mitandao yote hawakupi line za kufanyia kazi adi upeleke TIN, Leseni na tax clearance ambazo mchakato wa kuvipata umetumia muda, na wao pia kuna makampuni mfano VODA line unaipata ndani ya miezi mitatu, kumbuka kodi Inasoma kwamba upo kwenye uzalishaji.
.....................
Timiza wajibu wako maendeleo hayana chama. KILA LA KHERI
Uzi huu umejitosheleza sana na ni elimu tosha kabisa.
 
Hivi jumla inaweza ku cost pesa ngapi
 
Jambo ndugu zangu

Kuna jambo nataka kuuliza

Hivi mgeni akitaka kuwekeza TZ ni vitu gani anahitaji kuwa navyo ili kupata leseni ya biashara?

Na kufungua bank account?

Na namna gani ninaweza kuvipata?
Safi
 
Back
Top Bottom