namna gani niepuke hizi message za promotion kwenye simu yangu. In box inajaa kilasiku. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

namna gani niepuke hizi message za promotion kwenye simu yangu. In box inajaa kilasiku.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by sambu, Jul 25, 2012.

 1. s

  sambu JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 60
  si ajabu kuwa wengi hili linawaudhi ila hawana jinsi ya kuepukana na nalo. Na kama una simu ya laini mbili ni adhabu tosha.Matangazo ya promotion kila dakika hadi simu inajaa na unashindwa kupata message zako za maana. Hii ni kwa karibu makampuni yote ya simu. Hivi hakuna njia ya kuweza kublock hawa jamaa waache kutusumbua? Bahati mbaya vyombo vyetu vya udhibiti vimelala usingizi mzito. Kama simu ni ya kwangu, sidhani haya makampuni yana haki ya kuitumia wanavyotaka eti kwa sababu natumia laini `yao` ambayo kimsingi naimiliki kwani nimeinunua. Wana JF ebu fanyeni mautundu tuepukane na vurugu za haya makampuni ya simu kwani regulators hawana ubavu wa kupambana nayo.
  Wakati mwingine upo kwenye jambo la maana unaona simu inaita na unaamua kusitisha ukaisikileze, na unaishia kupokea promotion.
   
 2. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
 3. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Si bora hiyo ya msg, airtel na voda wameanzisha mtindo wa kuwapigia wateja wao simu mteja unakimbilia kupokea ukidhani ni simu ya muhimu lahaula lakwata!!!!!!! eti unapewa maelekezo jinsi ya kuchagua wimbo khaaa mimi siku hizi huwa nawakatia hapo hapo manake ni ujinga kabisa ! Inabidi mamlaka ya mawasiliano itusaidie kwenye hili tunakerwa sana na hii mitandao ya simu !
   
 4. Suzie

  Suzie JF-Expert Member

  #4
  Jul 25, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 1,264
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kudelete ni moja ya mazoezi ya kuustua ubongo na kuufanya uwe active. Punguza magonjwa kwakufuatilia hii system. Yaani inbox inajaa hata haudiliti uko bize na monotonous jobs za ofisini? Kweli watanzania ni wazembe sana yaani mpaka msg unaishtakia JF?
   
 5. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #5
  Jul 25, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,786
  Likes Received: 7,107
  Trophy Points: 280
  tatizo ni kwamba hawatumi na namba mfano tigo message zao utaona juu TIGOPROMO bila kuona namba hii inasababisha pia hali kua ngumu ukkitaka kuiblock
   
 6. S

  Smarty JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 729
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 60
  unaweza kureply kupitia hiyi namba kwa kuandika STOP, au SITISHA au ONDOA.....mi nilishafanya hivo na imenisidia....kwa upande wa airtel.
   
 7. YEYE

  YEYE JF-Expert Member

  #7
  Jul 25, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ukitumia Kaspersky, kwenye kublacklist kuna option ya kuzuia non-numeric numbers...
   
 8. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #8
  Jul 25, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Pia NQ Mobile Manager
   
 9. R

  Rubesha Kipesha Member

  #9
  Jul 25, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unalichowasilisha sweetlady nakubaliana nacho hasa! Imekuwa kero!!! Binafsi huo mtindo wa VODA na TIGO
  kupigia wateja simu kwa ajili ya matangazo yao unakera sana! Nadhani message sent Lol.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #10
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Au wawe wanalipia. Ama wakikutumia sms moja, wanakupa moja ya bure.
   
 11. akohi

  akohi JF-Expert Member

  #11
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 761
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 60
  Pole sana wa JF hata mimi nakeleka sana, nina bb na samsung yenye line 2, ina option ya kublock sms. By subject,phone number, name or by address etc but for this case of promotions messages by Address ndo mwarobaini tosha.
   
 12. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #12
  Jul 25, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwani kaishtaka ama kaomba njia ya kublock hizo sms, mbona watakakujifanya mgumu wakuelewa?
   
 13. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #13
  Jul 25, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hilo nalo neno ngojea nipatakujaribu nami nijionee!
   
 14. s

  sambu JF-Expert Member

  #14
  Jul 26, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 60
  kwa updande wa Vodacom msg sender ni Vodacom. Uki reply, hakuna namba yaani sehemu ya namba ipo blank so you cant send.
   
 15. akohi

  akohi JF-Expert Member

  #15
  Jul 26, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 761
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 60
  Never reply coz these are automated messages.
  The best u can will depend with type of ur hand set. Just block them by either. Address or topic/subject. Samsung can.
   
Loading...