msana
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 215
- 306
katika dodosa dodosa zangu nikakutana na kesi matata baina ya Google na jumuiya ya waandishi huko marekani japo kesi iliisha kwa Google kushinda kwa mianya ya kisheria kwa matumizi ya Fair use contents, hili sio nalo taka kulileta ila nachobainisha ni mbio za dunia katika kumfanya mwanadamu aishi kama BIG BOSS yani itafikia hatua unafanyakazi au kupewa huduma kwa kutamka tu "nataka pepsi baridiiiii na nyama choma" mara paaap kapepsi haka hapo mezani hahaha
Twende taratibu: Google wana project moja mahususi kufanikisha hayo katika nyanja zote wanayoiita Google Brain na hii project ndo moja ya chanzo katika kesi ile na wandishi wa vitabu niliyoibainisha hapo juu, kupitia uhifadhi wa kanzi data (database) kila contents zinazo rushwa mtandaoni jamaa wanazimezesha mashine zao ziweze kutambua katika mfumo wa kibinadamu (learning process) kama tulivyo mezeshwa mambo mbali mbali ya kitaaluma tukiwa shule na kutufanya tuwe na uwezo huu wa kufikili sasa jamaa wanazitupia machine uwezo katika mfumo huo. Balaa lilianzia hapo baada ya waandishi kadhaa wa vitabu kugundua maandishi ya vitabu vyao machine za google zishameza kama vile wanafunzi wanavyo meza vitabu vya Ngoswe penzi kitovu cha uzembe hahahaha hatari sana.
mfano wa A.I nyepesi tu ambayo ina exist hata sasa unaweza tafsiri maandishi ya aina yoote katika lugha yoyote kuja katika lugha unayoitambua.
nawasilisha.......