Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,633
- 697,794
Hizo habari ni kama siku za mwisho toka nimezaliwa mpaka sasa nasikia wahubiri wanasema hizi ni siku za mwisho lakini sijaona mwisho.

Umemaliza kila kitu Mkuu......Hata siku moja kufa kwa CHADEMA, hakuwezi kuleta uhai kwa CCM.
Mahubiri ya kufa kwa CHADEMA, ni kama mahubiri ya nyani kuwa mlinzi wa shamba anakufa.
CHADEMA ni forum tu, wapinzani ni wananchi, watanzania walio wengi.
Inajulikana kabisa kwamba. Kudoofika kwa mwili na kunyemelewa na magonjwa mengi kinachofuata ni kifo.Sijawahi kuona kifo cha mchakato wa muda mrefu kiasi hicho
KARIBU NYUMBANI TANZANIA.Nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali humu. Nimeona mijadala mingi ikiendelea. Kusema kweli mingi inajenga.
Sasa basi kwa leo ninaomba nami niweze kuchangia. Leo ninaomba kuchangia jambo la kuhusu namna ya CHADEMA inavyokufa.
A. KUKOSEKANA KWA SERA
Uhai wa chama ni kuwa na sera. Chama cha siasa kikikosa sera kinakuwa hakijui kinatakiwa kufanya nini. Kwa bahati mbaya kabisa CHADEMA imekuwepo na kuendesha siasa zisizo na sera. Na mwisho wa siku kimekuwa kikijikita kwenye matukio ya muda na yanayopita.
B. KUKOSEKANA KWA ITIKADI
Itikadi ndiyo moyo wa chama. Yaani chama lazima kiwe na itikadi. Hii ndiyo imani ya chama. Bahati mbaya CHADEMA kimekuwa kikiongozwa na misemo tu. Mf: UKAWA, OPERATION SANGARA, UKUTA, KATAFUNUA nk. Hii inafanya chama kionekane cha kihuni. Chama kinakuwa hakina future.
C. KUSHINDWA KUTATUA MATATIZO YA NDANI.
Chadema kimeshindwa kutatua matatizo yake ya ndani. Kimekuwa kikiongozwa kwa mfumo wa kidikteta. Ni mtu mmoja tu ndiye anakuwa na nguvu. Ukimkosea ubafukuzwa chama. Yeye ndiye A to Z.
D. KUSHINDWA KUBADILIKA KULINGANA NA WAKATI
Hiki chama kimedumaa hakiwezi kwenda na wakati. Kimebaki kwenye siasa za matukio, kejeli na matusi. Hii siyo afya kwa chama. Kinatakiwa kiseme seta zake kuliko kuegemea siasa dhaifu.
Mwisho kabisa kifo cha CHADEMA ni natural death. Kitapotea na hatutakikumbuka tena.
Asante sana kuwa kwangu Canada hakunifanyi nisiijue nchi yangu. Chadema naijua zaidi uijuavyo.KARIBU NYUMBANI TANZANIA.
Madhara ya kukaa nje ya nchi kwa muda mrefu. Uliporudi ungekwenda kwenye ofisi ya Chadema ujue nini wamekifanya mpaka sasa kisha uje hapa na mrejesho na siyo kutuletea upuuzi wa kichwani mwako binafsi tuujadili.
Watu wa ajabu sana hawa ! Wakati Membe huyo ndio aliwahi kiri kwamba walikua wakipishana angani kwenda ulaya na Marekani kutafuna kodi za wanyonge !Sasa hivi wako n Membe mkuu ndio rais wao kipenzi wa mioyo yao,.
Mleta mada atusaidie. Kuna vyama ambavyo tayari vimekufa Tanzania? Unaweza kututajia? Hii itatusaidia kuiweka CDM katika mizani ili tuone kama inakufa au la.Kifo huwa kinaanza na dalili. Kwanza kudhoofika, kukosa direction hatimaye kufa.
Ukitaka nikupatie elimu iliyo bora kabisa. Weka suala hili katika picha kubwa.Mleta mada atusaidie. Kuna vyama ambavyo tayari vimekufa Tanzania? Unaweza kututajia? Hii itatusaidia kuiweka CDM katika mizani ili tuone kama inakufa au la.
.Inajulikana kabisa kwamba. Kudoofika kwa mwili na kunyemelewa na magonjwa mengi kinachofuata ni kifo.
Magonjwa hayo ni:-
1. KUKOSA SERA
2. KUKOSA ITIKADI
3. KUSHINDWA KUTATUA MATATIZO YA NDANI
4. SIASA ZA MATUKIO
5. UDIKTETA WA MWENYEKITI
6. CHAMA KUENDESHWA NA ELITE GROUP.
Sasa ndiyo kusema nimekuzidi hoja siyo!? Unatumia Tecno aina gani!!
Natumia Siemens C29 kuna shida kwani?Sasa ndiyo kusema nimekuzidi hoja siyo!? Unatumia Tecno aina gani!!
Nilitaka kujua lengo lako la screenshot inayoonesha simu taarifa za simu yako.Natumia Siemens C29 kuna shida kwani?
Umechambua vizuri. Lakini wahenga walisema sikio la kufa halisikii dawa. Si unaona makamanda wanavyopinga?Nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali humu. Nimeona mijadala mingi ikiendelea. Kusema kweli mingi inajenga.
Sasa basi kwa leo ninaomba nami niweze kuchangia. Leo ninaomba kuchangia jambo la kuhusu namna ya CHADEMA inavyokufa.
A. KUKOSEKANA KWA SERA
Uhai wa chama ni kuwa na sera. Chama cha siasa kikikosa sera kinakuwa hakijui kinatakiwa kufanya nini. Kwa bahati mbaya kabisa CHADEMA imekuwepo na kuendesha siasa zisizo na sera. Na mwisho wa siku kimekuwa kikijikita kwenye matukio ya muda na yanayopita.
B. KUKOSEKANA KWA ITIKADI
Itikadi ndiyo moyo wa chama. Yaani chama lazima kiwe na itikadi. Hii ndiyo imani ya chama. Bahati mbaya CHADEMA kimekuwa kikiongozwa na misemo tu. Mf: UKAWA, OPERATION SANGARA, UKUTA, KATAFUNUA nk. Hii inafanya chama kionekane cha kihuni. Chama kinakuwa hakina future.
C. KUSHINDWA KUTATUA MATATIZO YA NDANI.
Chadema kimeshindwa kutatua matatizo yake ya ndani. Kimekuwa kikiongozwa kwa mfumo wa kidikteta. Ni mtu mmoja tu ndiye anakuwa na nguvu. Ukimkosea ubafukuzwa chama. Yeye ndiye A to Z.
D. KUSHINDWA KUBADILIKA KULINGANA NA WAKATI
Hiki chama kimedumaa hakiwezi kwenda na wakati. Kimebaki kwenye siasa za matukio, kejeli na matusi. Hii siyo afya kwa chama. Kinatakiwa kiseme seta zake kuliko kuegemea siasa dhaifu.
Mwisho kabisa kifo cha CHADEMA ni natural death. Kitapotea na hatutakikumbuka tena.
Meya Dar aamuru polisi wenye silaha kutoka ukumbiniNimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali humu. Nimeona mijadala mingi ikiendelea. Kusema kweli mingi inajenga.
Sasa basi kwa leo ninaomba nami niweze kuchangia. Leo ninaomba kuchangia jambo la kuhusu namna ya CHADEMA inavyokufa.
A. KUKOSEKANA KWA SERA
Uhai wa chama ni kuwa na sera. Chama cha siasa kikikosa sera kinakuwa hakijui kinatakiwa kufanya nini. Kwa bahati mbaya kabisa CHADEMA imekuwepo na kuendesha siasa zisizo na sera. Na mwisho wa siku kimekuwa kikijikita kwenye matukio ya muda na yanayopita.
B. KUKOSEKANA KWA ITIKADI
Itikadi ndiyo moyo wa chama. Yaani chama lazima kiwe na itikadi. Hii ndiyo imani ya chama. Bahati mbaya CHADEMA kimekuwa kikiongozwa na misemo tu. Mf: UKAWA, OPERATION SANGARA, UKUTA, KATAFUNUA nk. Hii inafanya chama kionekane cha kihuni. Chama kinakuwa hakina future.
C. KUSHINDWA KUTATUA MATATIZO YA NDANI.
Chadema kimeshindwa kutatua matatizo yake ya ndani. Kimekuwa kikiongozwa kwa mfumo wa kidikteta. Ni mtu mmoja tu ndiye anakuwa na nguvu. Ukimkosea ubafukuzwa chama. Yeye ndiye A to Z.
D. KUSHINDWA KUBADILIKA KULINGANA NA WAKATI
Hiki chama kimedumaa hakiwezi kwenda na wakati. Kimebaki kwenye siasa za matukio, kejeli na matusi. Hii siyo afya kwa chama. Kinatakiwa kiseme seta zake kuliko kuegemea siasa dhaifu.
Mwisho kabisa kifo cha CHADEMA ni natural death. Kitapotea na hatutakikumbuka tena.
Huyo mwenyekiti wenu ni mwepesi sana siku zote mwanaume haogopi mwanaume mwenzake,anatumia bunge,police,mahakama ila ameshindwa na kwahali ya pesa ilivyombaya kwake.Nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali humu. Nimeona mijadala mingi ikiendelea. Kusema kweli mingi inajenga.
Sasa basi kwa leo ninaomba nami niweze kuchangia. Leo ninaomba kuchangia jambo la kuhusu namna ya CHADEMA inavyokufa.
A. KUKOSEKANA KWA SERA
Uhai wa chama ni kuwa na sera. Chama cha siasa kikikosa sera kinakuwa hakijui kinatakiwa kufanya nini. Kwa bahati mbaya kabisa CHADEMA imekuwepo na kuendesha siasa zisizo na sera. Na mwisho wa siku kimekuwa kikijikita kwenye matukio ya muda na yanayopita.
B. KUKOSEKANA KWA ITIKADI
Itikadi ndiyo moyo wa chama. Yaani chama lazima kiwe na itikadi. Hii ndiyo imani ya chama. Bahati mbaya CHADEMA kimekuwa kikiongozwa na misemo tu. Mf: UKAWA, OPERATION SANGARA, UKUTA, KATAFUNUA nk. Hii inafanya chama kionekane cha kihuni. Chama kinakuwa hakina future.
C. KUSHINDWA KUTATUA MATATIZO YA NDANI.
Chadema kimeshindwa kutatua matatizo yake ya ndani. Kimekuwa kikiongozwa kwa mfumo wa kidikteta. Ni mtu mmoja tu ndiye anakuwa na nguvu. Ukimkosea ubafukuzwa chama. Yeye ndiye A to Z.
D. KUSHINDWA KUBADILIKA KULINGANA NA WAKATI
Hiki chama kimedumaa hakiwezi kwenda na wakati. Kimebaki kwenye siasa za matukio, kejeli na matusi. Hii siyo afya kwa chama. Kinatakiwa kiseme seta zake kuliko kuegemea siasa dhaifu.
Mwisho kabisa kifo cha CHADEMA ni natural death. Kitapotea na hatutakikumbuka tena.
Nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali humu. Nimeona mijadala mingi ikiendelea. Kusema kweli mingi inajenga.

Kamata mwizi
New Member
Joined Dec 6, 2018