Namna CHADEMA inavyokufa

Hata siku moja kufa kwa CHADEMA, hakuwezi kuleta uhai kwa CCM.

Mahubiri ya kufa kwa CHADEMA, ni kama mahubiri ya nyani kuwa mlinzi wa shamba anakufa.

CHADEMA ni forum tu, wapinzani ni wananchi, watanzania walio wengi.
Umemaliza kila kitu Mkuu......
Binafsi Kuna watu wenge Sana smart niwafahamu niwakosoaji wakubwa Sana wa namna ambavyo CDM inashindwa kujijenga Kama taasisi yenye mifumo na Sera imara ya kuilinda na kuvutia watu wanaofikiri na kuifanya iaminike bila kuyumbishwa na matukio ya zimamoto.......
Lakini hawaipendi CCM afadhari shetani au mchawi... wanaona CCM ndo Adui na Jinamizi kubwa ambalo linafukarisha watz na tz kwa ujumla bila kuwa na dalili yeyote kuleta unafuuu....

Hitimisho
Upinzani/ Opposition sio chama Bali Ni hali ya kutoridhika na muktadha wa mkondo wa maamuzi flani/ certain course of actions/decisions... Na kusapoti maamuzi mbadala /alternative course of action/decisions...
And that Ni hulka ya mwanadamu, so hata CDM ikifa haina maaana kuwa watz wote Sasa hawana mawazo mbadala ya maamuzi yanayofanywa na CCM/serikali...
 
Sijawahi kuona kifo cha mchakato wa muda mrefu kiasi hicho
Inajulikana kabisa kwamba. Kudoofika kwa mwili na kunyemelewa na magonjwa mengi kinachofuata ni kifo.
Magonjwa hayo ni:-
1. KUKOSA SERA
2. KUKOSA ITIKADI
3. KUSHINDWA KUTATUA MATATIZO YA NDANI
4. SIASA ZA MATUKIO
5. UDIKTETA WA MWENYEKITI
6. CHAMA KUENDESHWA NA ELITE GROUP.
 
Nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali humu. Nimeona mijadala mingi ikiendelea. Kusema kweli mingi inajenga.

Sasa basi kwa leo ninaomba nami niweze kuchangia. Leo ninaomba kuchangia jambo la kuhusu namna ya CHADEMA inavyokufa.

A. KUKOSEKANA KWA SERA
Uhai wa chama ni kuwa na sera. Chama cha siasa kikikosa sera kinakuwa hakijui kinatakiwa kufanya nini. Kwa bahati mbaya kabisa CHADEMA imekuwepo na kuendesha siasa zisizo na sera. Na mwisho wa siku kimekuwa kikijikita kwenye matukio ya muda na yanayopita.

B. KUKOSEKANA KWA ITIKADI
Itikadi ndiyo moyo wa chama. Yaani chama lazima kiwe na itikadi. Hii ndiyo imani ya chama. Bahati mbaya CHADEMA kimekuwa kikiongozwa na misemo tu. Mf: UKAWA, OPERATION SANGARA, UKUTA, KATAFUNUA nk. Hii inafanya chama kionekane cha kihuni. Chama kinakuwa hakina future.

C. KUSHINDWA KUTATUA MATATIZO YA NDANI.
Chadema kimeshindwa kutatua matatizo yake ya ndani. Kimekuwa kikiongozwa kwa mfumo wa kidikteta. Ni mtu mmoja tu ndiye anakuwa na nguvu. Ukimkosea ubafukuzwa chama. Yeye ndiye A to Z.

D. KUSHINDWA KUBADILIKA KULINGANA NA WAKATI

Hiki chama kimedumaa hakiwezi kwenda na wakati. Kimebaki kwenye siasa za matukio, kejeli na matusi. Hii siyo afya kwa chama. Kinatakiwa kiseme seta zake kuliko kuegemea siasa dhaifu.

Mwisho kabisa kifo cha CHADEMA ni natural death. Kitapotea na hatutakikumbuka tena.
KARIBU NYUMBANI TANZANIA.
Madhara ya kukaa nje ya nchi kwa muda mrefu. Uliporudi ungekwenda kwenye ofisi ya Chadema ujue nini wamekifanya mpaka sasa kisha uje hapa na mrejesho na siyo kutuletea upuuzi wa kichwani mwako binafsi tuujadili.
 
Asante sana kuwa kwangu Canada hakunifanyi nisiijue nchi yangu. Chadema naijua zaidi uijuavyo.
 
Sera za CCM zipo ila hakuna hatua zinazochukuliwa, mfano kwenye elimu wanafunzi hukosa mkopo na hata wale walopata hupat chni y kiwango, kila siku watu wanalilia hakuna suluhisho la maana..pia hawatimizi maneno wanayoyasema hata yakiwa kwenye maandiko..Sina chama na sina hamu kabisa na vyama vyenu dhambi tu imewajaa kutufanyia wanyonge.
 
Sasa hivi wako n Membe mkuu ndio rais wao kipenzi wa mioyo yao,.
Watu wa ajabu sana hawa ! Wakati Membe huyo ndio aliwahi kiri kwamba walikua wakipishana angani kwenda ulaya na Marekani kutafuna kodi za wanyonge !
 
Africa hakunaga sera bali umaarufu wa mgombea.Ikitokea chama kina mtu maarufu zaidi ya wenzake huyu ndiye rais Africa.
 
Kifo huwa kinaanza na dalili. Kwanza kudhoofika, kukosa direction hatimaye kufa.
Mleta mada atusaidie. Kuna vyama ambavyo tayari vimekufa Tanzania? Unaweza kututajia? Hii itatusaidia kuiweka CDM katika mizani ili tuone kama inakufa au la.
 
Ukitaka nikupatie elimu iliyo bora kabisa. Weka suala hili katika picha kubwa.
Ongelea ulimwengu wote, siyo kujifinya katika mtazamo mdoooogo.
Nipo na mifano mingi toka China,USA. Uingereza, Rusia nk.
Je, upo tayari kuweka picha kubwa sasa!?
 
Inajulikana kabisa kwamba. Kudoofika kwa mwili na kunyemelewa na magonjwa mengi kinachofuata ni kifo.
Magonjwa hayo ni:-
1. KUKOSA SERA
2. KUKOSA ITIKADI
3. KUSHINDWA KUTATUA MATATIZO YA NDANI
4. SIASA ZA MATUKIO
5. UDIKTETA WA MWENYEKITI
6. CHAMA KUENDESHWA NA ELITE GROUP.
.
Screenshot_20181207-120626.jpeg
 
Nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali humu. Nimeona mijadala mingi ikiendelea. Kusema kweli mingi inajenga.

Sasa basi kwa leo ninaomba nami niweze kuchangia. Leo ninaomba kuchangia jambo la kuhusu namna ya CHADEMA inavyokufa.

A. KUKOSEKANA KWA SERA
Uhai wa chama ni kuwa na sera. Chama cha siasa kikikosa sera kinakuwa hakijui kinatakiwa kufanya nini. Kwa bahati mbaya kabisa CHADEMA imekuwepo na kuendesha siasa zisizo na sera. Na mwisho wa siku kimekuwa kikijikita kwenye matukio ya muda na yanayopita.

B. KUKOSEKANA KWA ITIKADI
Itikadi ndiyo moyo wa chama. Yaani chama lazima kiwe na itikadi. Hii ndiyo imani ya chama. Bahati mbaya CHADEMA kimekuwa kikiongozwa na misemo tu. Mf: UKAWA, OPERATION SANGARA, UKUTA, KATAFUNUA nk. Hii inafanya chama kionekane cha kihuni. Chama kinakuwa hakina future.

C. KUSHINDWA KUTATUA MATATIZO YA NDANI.
Chadema kimeshindwa kutatua matatizo yake ya ndani. Kimekuwa kikiongozwa kwa mfumo wa kidikteta. Ni mtu mmoja tu ndiye anakuwa na nguvu. Ukimkosea ubafukuzwa chama. Yeye ndiye A to Z.

D. KUSHINDWA KUBADILIKA KULINGANA NA WAKATI

Hiki chama kimedumaa hakiwezi kwenda na wakati. Kimebaki kwenye siasa za matukio, kejeli na matusi. Hii siyo afya kwa chama. Kinatakiwa kiseme seta zake kuliko kuegemea siasa dhaifu.

Mwisho kabisa kifo cha CHADEMA ni natural death. Kitapotea na hatutakikumbuka tena.
Umechambua vizuri. Lakini wahenga walisema sikio la kufa halisikii dawa. Si unaona makamanda wanavyopinga?
 
Meya Dar aamuru polisi wenye silaha kutoka ukumbini

FRIDAY DECEMBER 7 2018

pic+meya.jpg

Kwa ufupi
  • Mwenyekiti wa Baraza la Madiwani la Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita amewaamuru polisi wenye silaha za moto waliokuwa ndani ya ukumbi wa mkutano kutoka nje kwa madai uwapo wao unawatisha wajumbe.
ADVERTISEMENT

By Bakari Kiango, Mwananchi bkiango@mwananchi.co.tz
Dar es Salaam. Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita amewataka polisi wenye silaha za moto kutoka nje ya ukumbi wa Baraza la Madiwani wa jiji hilo kwa madai kuwa uwapo wao unawatisha wajumbe wa baraza hilo.
Mwita alitoa amri hiyo leo baada ya mmoja wa wajumbe wa baraza hilo, Saed Kubenea kuomba utaratibu kuhusu uwapo wa askari na uhuru wa kutoa maoni.
Ilivyokuwa
Baada ya dua ya kuliombea baraza hilo lenye ajenda ya uchaguzi wa Naibu Meya wa jiji ili kuziba nafasi ya Mussa Kafana aliyejiuzulu na kuhamia CCM, Kubenea alisema: “leo mkutano huu una wageni wengi hasa askari polisi wenye silaha za moto tena ndani ya ukumbi lakini siyo utaratibu mwenyekiti.”
"Hatukatai vyombo vya usalama kuwapo humu ndani lakini hizi silaha za moto si sahihi. Tunaomba watoke nje ili tuendelee na kikao.”
Baada ya maelezo hayo, Mwita alimpa nafasi katibu wa baraza hilo, Sipora Liana kutoa ufafanuzi kuhusu hatua ya polisi wenye silaha kuwapo ndani ya kikao hicho.
"Mimi ndiye nimeandaa mkutano huu, nimeamua kuweka ulinzi kutokana na historia ya vikao vya nyuma kuwa na vurugu. Nataka mkutano uwe na ulinzi na utulivu.”
"Nimewahakikishia ulinzi wajumbe wangu ndiyo maana ulinzi upo hapa nami ndio muandaaji wa kikao hiki,” alisema Liana.
Baada ya maelezo hayo, Mwita alimpa nafasi tena Kubenea ambaye alsisitiza polisi hao watoke nje na kama vurugu zitatokea wataitwa ndani.
“Hata kule bungeni vurugu zikitokea Spika ana agiza askari waingie ndani," alisema Kubenea.
Maelezo hayo ya Kubenea yalimfanya Mwita kuagiza askari waliokuwa na silaha watoke nje ya ukumbi jambo ambalo lilitekelezwa.
Wakati Meya wa Ubungo akisikika akisema hatoweza kutoa maoni huku askari hao wakiwa ukumbini na silaha, mjumbe mwingine wa CCM, Mussa Ntinika alisikika akisema siyo jambo jema na halileti tafsiri nzuri kwa vyombo vya ulinzi kutolewa nje ya ukumbi.

ADVERTISEMENT
 
Nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali humu. Nimeona mijadala mingi ikiendelea. Kusema kweli mingi inajenga.

Sasa basi kwa leo ninaomba nami niweze kuchangia. Leo ninaomba kuchangia jambo la kuhusu namna ya CHADEMA inavyokufa.

A. KUKOSEKANA KWA SERA
Uhai wa chama ni kuwa na sera. Chama cha siasa kikikosa sera kinakuwa hakijui kinatakiwa kufanya nini. Kwa bahati mbaya kabisa CHADEMA imekuwepo na kuendesha siasa zisizo na sera. Na mwisho wa siku kimekuwa kikijikita kwenye matukio ya muda na yanayopita.

B. KUKOSEKANA KWA ITIKADI
Itikadi ndiyo moyo wa chama. Yaani chama lazima kiwe na itikadi. Hii ndiyo imani ya chama. Bahati mbaya CHADEMA kimekuwa kikiongozwa na misemo tu. Mf: UKAWA, OPERATION SANGARA, UKUTA, KATAFUNUA nk. Hii inafanya chama kionekane cha kihuni. Chama kinakuwa hakina future.

C. KUSHINDWA KUTATUA MATATIZO YA NDANI.
Chadema kimeshindwa kutatua matatizo yake ya ndani. Kimekuwa kikiongozwa kwa mfumo wa kidikteta. Ni mtu mmoja tu ndiye anakuwa na nguvu. Ukimkosea ubafukuzwa chama. Yeye ndiye A to Z.

D. KUSHINDWA KUBADILIKA KULINGANA NA WAKATI

Hiki chama kimedumaa hakiwezi kwenda na wakati. Kimebaki kwenye siasa za matukio, kejeli na matusi. Hii siyo afya kwa chama. Kinatakiwa kiseme seta zake kuliko kuegemea siasa dhaifu.

Mwisho kabisa kifo cha CHADEMA ni natural death. Kitapotea na hatutakikumbuka tena.
Huyo mwenyekiti wenu ni mwepesi sana siku zote mwanaume haogopi mwanaume mwenzake,anatumia bunge,police,mahakama ila ameshindwa na kwahali ya pesa ilivyombaya kwake.
Mpka 2020 atakua amevaa kimini cha matatizo ambayo hawezi kuyatatua hata chamani kwake,karibu huku kwetu ni kazi na bata tu
 
Nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali humu. Nimeona mijadala mingi ikiendelea. Kusema kweli mingi inajenga.

Sasa basi kwa leo ninaomba nami niweze kuchangia. Leo ninaomba kuchangia jambo la kuhusu namna ya CHADEMA inavyokufa.

A. KUKOSEKANA KWA SERA
Uhai wa chama ni kuwa na sera. Chama cha siasa kikikosa sera kinakuwa hakijui kinatakiwa kufanya nini. Kwa bahati mbaya kabisa CHADEMA imekuwepo na kuendesha siasa zisizo na sera. Na mwisho wa siku kimekuwa kikijikita kwenye matukio ya muda na yanayopita.

B. KUKOSEKANA KWA ITIKADI
Itikadi ndiyo moyo wa chama. Yaani chama lazima kiwe na itikadi. Hii ndiyo imani ya chama. Bahati mbaya CHADEMA kimekuwa kikiongozwa na misemo tu. Mf: UKAWA, OPERATION SANGARA, UKUTA, KATAFUNUA nk. Hii inafanya chama kionekane cha kihuni. Chama kinakuwa hakina future.

C. KUSHINDWA KUTATUA MATATIZO YA NDANI.
Chadema kimeshindwa kutatua matatizo yake ya ndani. Kimekuwa kikiongozwa kwa mfumo wa kidikteta. Ni mtu mmoja tu ndiye anakuwa na nguvu. Ukimkosea ubafukuzwa chama. Yeye ndiye A to Z.

D. KUSHINDWA KUBADILIKA KULINGANA NA WAKATI

Hiki chama kimedumaa hakiwezi kwenda na wakati. Kimebaki kwenye siasa za matukio, kejeli na matusi. Hii siyo afya kwa chama. Kinatakiwa kiseme seta zake kuliko kuegemea siasa dhaifu.

Mwisho kabisa kifo cha CHADEMA ni natural death. Kitapotea na hatutakikumbuka tena.

Kila mwenye akili timamu anajua kuwa CCM ni chama mfu ndiyo maana kinatumia maguvu ya dola kubakia madarakani. Kama kweli mna ubavu acheni uwanja sawa wa kufanya siasa muone tutakavyo wakimbiza. Bila mbeleko ya NEC, Mahakama,Poilisi CCM haina kitu, ni weupe kabisa.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom