Namna CHADEMA inavyokufa

Venus Star

JF-Expert Member
Dec 6, 2018
19,605
59,480
Nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali humu. Nimeona mijadala mingi ikiendelea. Kusema kweli mingi inajenga.

Sasa basi kwa leo ninaomba nami niweze kuchangia. Leo ninaomba kuchangia jambo la kuhusu namna ya CHADEMA inavyokufa.

A. KUKOSEKANA KWA SERA
Uhai wa chama ni kuwa na sera. Chama cha siasa kikikosa sera kinakuwa hakijui kinatakiwa kufanya nini. Kwa bahati mbaya kabisa CHADEMA imekuwepo na kuendesha siasa zisizo na sera. Na mwisho wa siku kimekuwa kikijikita kwenye matukio ya muda na yanayopita.

B. KUKOSEKANA KWA ITIKADI
Itikadi ndiyo moyo wa chama. Yaani chama lazima kiwe na itikadi. Hii ndiyo imani ya chama. Bahati mbaya CHADEMA kimekuwa kikiongozwa na misemo tu. Mf: UKAWA, OPERATION SANGARA, UKUTA, KATAFUNUA nk. Hii inafanya chama kionekane cha kihuni. Chama kinakuwa hakina future.

C. KUSHINDWA KUTATUA MATATIZO YA NDANI.
Chadema kimeshindwa kutatua matatizo yake ya ndani. Kimekuwa kikiongozwa kwa mfumo wa kidikteta. Ni mtu mmoja tu ndiye anakuwa na nguvu. Ukimkosea ubafukuzwa chama. Yeye ndiye A to Z.

D. KUSHINDWA KUBADILIKA KULINGANA NA WAKATI

Hiki chama kimedumaa hakiwezi kwenda na wakati. Kimebaki kwenye siasa za matukio, kejeli na matusi. Hii siyo afya kwa chama. Kinatakiwa kiseme seta zake kuliko kuegemea siasa dhaifu.

Mwisho kabisa kifo cha CHADEMA ni natural death. Kitapotea na hatutakikumbuka tena.
 
sema tu umebadili id.memba since 6/12/2018. Tuanzie hapo wewe mwana ccm itikati na falsafa ya chama chenu mnaitekeleza kwa kiwango gani?

Je,ccm imefanikiwa kudhibiti migogoro ndani ya chama?mizozo ya membe na bashiru ni ya chadema?msekwa,nappe,na wengineo wanalalamika nini kama sio mifumo mibovu ya chama?
Je,ili nchi ipate maendeleo inahitaji sera na dira.je sisi kama taifa tuna dira,au tunafuata ngongera za watu wa ccm?sera za awamu ilopita na sasa ni sawa?

unasema cdm inafuata siasa za matukio huo ni utoto ulionao tu.Je matukio muhimu ya kitaifa yakaliwe kimya kisa kuzuia siasa za matukio.mfano mauaji kule kibiti serikali ilikataa kujadiliwa sasa wewe unaona sawa.? siasa ni matukio kama hujui maana siasa ni maisha na maisha ni matukio.siasa lazima ionekane kwa nje,siasa huwezi kukaa nayo moyoni maana ni imani na hata matendo utakayofanya yataonesha iman uliyonayo.mfano chuki,ukatili,uongo,uchoyo,wivu n.k yote hayo ni matukio.
 
Nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali humu. Nimeona mijadala mingi ikiendelea. Kusema kweli mingi inajenga.

Sasa basi kwa leo ninaomba nami niweze kuchangia. Leo ninaomba kuchangia jambo la kuhusu namna ya CHADEMA inavyokufa.

A. KUKOSEKANA KWA SERA
Uhai wa chama ni kuwa na sera. Chama cha siasa kikikosa sera kinakuwa hakijui kinatakiwa kufanya nini. Kwa bahati mbaya kabisa CHADEMA imekuwepo na kuendesha siasa zisizo na sera. Na mwisho wa siku kimekuwa kikijikita kwenye matukio ya muda na yanayopita.

B. KUKOSEKANA KWA ITIKADI
Itikadi ndiyo moyo wa chama. Yaani chama lazima kiwe na itikadi. Hii ndiyo imani ya chama. Bahati mbaya CHADEMA kimekuwa kikiongozwa na misemo tu. Mf: UKAWA, OPERATION SANGARA, UKUTA, KATAFUNUA nk. Hii inafanya chama kionekane cha kihuni. Chama kinakuwa hakina future.

C. KUSHINDWA KUTATUA MATATIZO YA NDANI.
Chadema kimeshindwa kutatua matatizo yake ya ndani. Kimekuwa kikiongozwa kwa mfumo wa kidikteta. Ni mtu mmoja tu ndiye anakuwa na nguvu. Ukimkosea ubafukuzwa chama. Yeye ndiye A to Z.

D. KUSHINDWA KUBADILIKA KULINGANA NA WAKATI

Hiki chama kimedumaa hakiwezi kwenda na wakati. Kimebaki kwenye siasa za matukio, kejeli na matusi. Hii siyo afya kwa chama. Kinatakiwa kiseme seta zake kuliko kuegemea siasa dhaifu.

Mwisho kabisa kifo cha CHADEMA ni natural death. Kitapotea na hatutakikumbuka tena.

New Member

Joined Dec 6, 2018
 
Wewe Venus Star utakufa, Jiwe atakufa na wajukuu wenu watakufa kable ya CHADEMA haijafa. Huu ndo ukweli!
 
Inasikitisha mno kuona mtoa mada hii ambaye Mwenyezi Mungu amembariki na kuwa kwenye kundi la middle class ana ufikiri huu,au mtoa mada wewe unaishi kwenye Lala Land ukijifungia wewe na familia yako na AC zako,yanayotokea nchini kwako na kwa jirani zake huyaoni,nchi inaanza kuwa ni Banana country hilo wewe hulioni,kusitishwa kwa shughuli za kisiasa nchini kwa vyama vya kisiasa except for ruling party nalo hilo wewe hulioni,sasa utatangaza vipi sera zako bila kukutana na walengwa ?na kichekesho kikubwa eti msajili wa vyama anataka sera za vyama zimfikie yeye kwanza!!wapi hii imeona linafanyika hapa duniani?,nchi yetu ni ya chama kimoja kwa hiyo wewe ulizia sera na hayo yote kwa ruling party only;kiongozi mkuu wa chama cha upinzani anawekwa jela (kosa ambalo linadhaminika)na nchi inaendelea lakini MO ANATEKWA NCHI INASIMAMA!!!,mwambie president Kenyatta amweke ndani Oginga au President Ramaphosa amweke ndani CIC Malema,hapo ndio atajua tunaishi kwenye shithole country
 
Hata siku moja kufa kwa CHADEMA, hakuwezi kuleta uhai kwa CCM.

Mahubiri ya kufa kwa CHADEMA, ni kama mahubiri ya nyani kuwa mlinzi wa shamba anakufa.

CHADEMA ni forum tu, wapinzani ni wananchi, watanzania walio wengi.
 
Nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali humu. Nimeona mijadala mingi ikiendelea. Kusema kweli mingi inajenga.

Sasa basi kwa leo ninaomba nami niweze kuchangia. Leo ninaomba kuchangia jambo la kuhusu namna ya CHADEMA inavyokufa.

A. KUKOSEKANA KWA SERA
Uhai wa chama ni kuwa na sera. Chama cha siasa kikikosa sera kinakuwa hakijui kinatakiwa kufanya nini. Kwa bahati mbaya kabisa CHADEMA imekuwepo na kuendesha siasa zisizo na sera. Na mwisho wa siku kimekuwa kikijikita kwenye matukio ya muda na yanayopita.

B. KUKOSEKANA KWA ITIKADI
Itikadi ndiyo moyo wa chama. Yaani chama lazima kiwe na itikadi. Hii ndiyo imani ya chama. Bahati mbaya CHADEMA kimekuwa kikiongozwa na misemo tu. Mf: UKAWA, OPERATION SANGARA, UKUTA, KATAFUNUA nk. Hii inafanya chama kionekane cha kihuni. Chama kinakuwa hakina future.

C. KUSHINDWA KUTATUA MATATIZO YA NDANI.
Chadema kimeshindwa kutatua matatizo yake ya ndani. Kimekuwa kikiongozwa kwa mfumo wa kidikteta. Ni mtu mmoja tu ndiye anakuwa na nguvu. Ukimkosea ubafukuzwa chama. Yeye ndiye A to Z.

D. KUSHINDWA KUBADILIKA KULINGANA NA WAKATI

Hiki chama kimedumaa hakiwezi kwenda na wakati. Kimebaki kwenye siasa za matukio, kejeli na matusi. Hii siyo afya kwa chama. Kinatakiwa kiseme seta zake kuliko kuegemea siasa dhaifu.

Mwisho kabisa kifo cha CHADEMA ni natural death. Kitapotea na hatutakikumbuka tena.
Mleta hoja hivi Cdm inayokufa ni hii hii ambayo kila siku ma policcm, Tiss, mahakama, na Ndugai wanahaha kujaribu kuidhibiti ?!. Sera na itikadi utazijuaje kama vyombo vyote vya dola na vya maamuzi wanahaha kujaribu kuwadhibiti
 
Hayo ni mambo unayoyatamani yatokee, utakufa utaicha CHADEMA madarakani na Magufuli jela.
 
Nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali humu. Nimeona mijadala mingi ikiendelea. Kusema kweli mingi inajenga.

Sasa basi kwa leo ninaomba nami niweze kuchangia. Leo ninaomba kuchangia jambo la kuhusu namna ya CHADEMA inavyokufa.

A. KUKOSEKANA KWA SERA
Uhai wa chama ni kuwa na sera. Chama cha siasa kikikosa sera kinakuwa hakijui kinatakiwa kufanya nini. Kwa bahati mbaya kabisa CHADEMA imekuwepo na kuendesha siasa zisizo na sera. Na mwisho wa siku kimekuwa kikijikita kwenye matukio ya muda na yanayopita.

B. KUKOSEKANA KWA ITIKADI
Itikadi ndiyo moyo wa chama. Yaani chama lazima kiwe na itikadi. Hii ndiyo imani ya chama. Bahati mbaya CHADEMA kimekuwa kikiongozwa na misemo tu. Mf: UKAWA, OPERATION SANGARA, UKUTA, KATAFUNUA nk. Hii inafanya chama kionekane cha kihuni. Chama kinakuwa hakina future.

C. KUSHINDWA KUTATUA MATATIZO YA NDANI.
Chadema kimeshindwa kutatua matatizo yake ya ndani. Kimekuwa kikiongozwa kwa mfumo wa kidikteta. Ni mtu mmoja tu ndiye anakuwa na nguvu. Ukimkosea ubafukuzwa chama. Yeye ndiye A to Z.

D. KUSHINDWA KUBADILIKA KULINGANA NA WAKATI

Hiki chama kimedumaa hakiwezi kwenda na wakati. Kimebaki kwenye siasa za matukio, kejeli na matusi. Hii siyo afya kwa chama. Kinatakiwa kiseme seta zake kuliko kuegemea siasa dhaifu.

Mwisho kabisa kifo cha CHADEMA ni natural death. Kitapotea na hatutakikumbuka tena.
Ivi ulivyoeleza CCM inacho hata kimoja kinachojipambanua vizuri!?Mtaji wa chama cha siasa ni matatizo ya wananchi!!
 
Back
Top Bottom