Namna bora ya kupokea simu yenye zengwe.

Tall

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
1,425
165
Heri ya mwaka mpya.

Naelewa wana JF wote ni watu safi kila mtu ana MPENZI wake mmoja tu na wengine hawana kabisa.
Lakini unamshaurije mtu ambae atapigiwa simu na mpenzi wa nje wakati yupo na mpenzi wake wa siku zote?. na kwa kweli mpenzi wake alie nae wakati simu inapigwa ni mkorofi.
JE?
1. AIPOKEE SIMU KWA KUTUMIA BUTTON NYEKUNDU???...AIZIME??
2. AIPAZE SAUTI KWA KUMUULIZA ALIEMPIGIA '' MBONA SIKUSIKII????''
3. AIACHE SIMU ILIIIIE? HADI IKATIKE YENYEWE?
KUNA JAMAA HAPA UGOMVI NA KUDUNDANA NI KILA SIKU.
 
Veri simpo! kabla y kukutana na huyo bi shost naichakuchua cm kw kuweka silent.
 
Sasa kisa chakudundana kila siku?Si achague mmoja??Au aamue yeye ni playa ili atakao kua nao wawe wanajua!Huwezi kua mtulivu(kua na uhusiano unaoleweka) na kubabaika at the same time.Alafu mtu anakua na wawili wa nini kama mikimiki yake haiwezi?Hiyo nayo inahitaji utaalamu!
 
sasa kisa chakudundana kila siku?si achague mmoja??au aamue yeye ni playa ili atakao kua nao wawe wanajua!huwezi kua mtulivu(kua na uhusiano unaoleweka) na kubabaika at the same time.alafu mtu anakua na wawili wa nini kama mikimiki yake haiwezi?hiyo nayo inahitaji utaalamu!

wote anawataka na hataki amuudhi yeyote
 
Veri simpo! kabla y kukutana na huyo bi shost naichakuchua cm kw kuweka silent.
eeeeeh HII IMETULIA MKUU, Lakiniiiiii ?yule wa upande mwingine si atapigaaaaa haoni simu ikipokelewa si itakuwa so?
 
wote anawataka na hataki amuudhi yeyote
Kama angekua hataki kuwaudhi wote amwache mmoja!Kwakua nao wawili tayari yuko kwenye mchakato wakuwaudhi na kuwaumiza wote!Embu kueni na huruma nyie wanaume...hapo mwenyewe anaona sifa kweli!
 
Alafu we Tall nna wasiwasi we ndo unatafuta pakutokea!Acha usanii...kua na mmoja!Sijui itakua vipi siku uki/akigundua wote wana wanaume wengine!
 
Sasa kisa chakudundana kila siku?Si achague mmoja??Au aamue yeye ni playa ili atakao kua nao wawe wanajua!Huwezi kua mtulivu(kua na uhusiano unaoleweka) na kubabaika at the same time.Alafu mtu anakua na wawili wa nini kama mikimiki yake haiwezi?Hiyo nayo inahitaji utaalamu!

2pe maujuzi.utaalamu gan?
 
Alafu we Tall nna wasiwasi we ndo unatafuta pakutokea!Acha usanii...kua na mmoja!Sijui itakua vipi siku uki/akigundua wote wana wanaume wengine!
UWE NA AMANI LIZZY NATAKA KUOKOA MAISHA YA HAWA JAMAA WASIKOROFISHANE KWA KITU KIDOGO.
SIYO MIMI.........nisalimmie shem(wa kwenye avatar)
 
UWE NA AMANI LIZZY NATAKA KUOKOA MAISHA YA HAWA JAMAA WASIKOROFISHANE KWA KITU KIDOGO.
SIYO MIMI.........nisalimmie shem(wa kwenye avatar)
Kuokoa maisha mwambie mshkaji atulie!!Hehe haya ntamfikishia!
 
Jamani kuacha mpenzi wa nje kazi kweliii ni kuwa msanii tu full stop
unasevu majina ya wasichana kwa majina ya wavulana mfano jane we unasevu john mlevi. Akipiga tu unamwambia waifu hiyo simu usiipokee ukipokea tu mi naondoka huyu jamaa ni msumbufu sana atakuwa keshalewa au ka vipi izime simu yenyewe mi sitaki kutoka
 
Easy sana, afunge 'incoming calls' akiwa na mmoja kama c mtu wa madili.
 
dawa ni kupokea na kuanza 'hallow x10' pasipo kupumzika kisha unasema 'naona mawasiliano mabaya' afu unakata.
 
Jamani kuacha mpenzi wa nje kazi kweliii ni kuwa msanii tu full stop
unasevu majina ya wasichana kwa majina ya wavulana mfano jane we unasevu john mlevi. Akipiga tu unamwambia waifu hiyo simu usiipokee ukipokea tu mi naondoka huyu jamaa ni msumbufu sana atakuwa keshalewa au ka vipi izime simu yenyewe mi sitaki kutoka

Vipi akisema ngoja nipokee nimwambie kuwa mwenye simu katoka ila acha ujumbe nitamfikishia?
 
Back
Top Bottom