cartura
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 3,026
- 788
tena nfamilia yangu ni ya ajabu sana kwamba mimi na mr ytunaweza kuongea matusi kabisa mimi na yeye kama stori tu za kawaida na huwa zinanoga kweli ila usilogwe katika hizo stori ukaeka za ukweli ambazo hazipend utasaga meno aisee.
this is quite interesting.... but then gfsonwin, unadhani unaweza kusema confidently kwamba tayari umeshamjua mr. completely (pamoja na mikwara na mizengwe yake) au unadhani process ya kumjua partner ni continuous katika maisha ya ndoa na kwamba bado uko kwenye 'learning curve' (e.g kuna maeneo ambayo huna uhakika ata-react vipi in case issues fulani zitawekwa mezani?)
Last edited by a moderator: