namna bora ya kukiri na kuomba msamaha kwa akina mama.

gfsonwin kumbe mnajijua eee
Wapo hao bana yaani yeye hata kama ni kaugomvi kadogo utamjua tuu mume akipandisha sauti na yeye anapandisha
hana cha kujishusha mbele ya mume wala watoto na kwake yeye always yuko right
Kuomba kwake msamaha ni nadra sana maana kwake huo msamiati haupo

ndiyo wapo wanawake kama hawa kama ambavyo wapo wababa weye tabia hizi. Mimi kwa mtazamo wangu wanawake hawa wanaathiriwa na kitu kimoja kikubwa nacho ni kipato chake ama uwezo wake wa kutafuta hela uchapaji kazi wake kiasi kwamba anaona mume to her is like a second person na siyo mtu wa umuhimu. mara nyingi sana wamama wa dizain hii huishia kuish maisha ya kusafiri kusaka hela nyumbani akarudi mara moja kwa miaka baba akaachiwa watoto na mahouse gel acha kabisa utalia ukishuhudia famila ya dizain hii.
 
kuliko kuomba msamaha bora tu useme
ukweli kuwa 'huna uhakika hutarudia tena'
anything is possible...

tatizo unakuta mwingine ndo tabia yake so inabidi umuelewe, umkubali vile alivyo na ajitahid kumrekebisha polepole.
Ikishindikana unakubaliana na hali na maisha yanasonga.
 
ahsante sana Kaunga lakini na wewe tuongezee maujuzi kidogo.

Hny, bora nikiri tu mimi si mzuri sana wa kuomba msamaha; ndio maana nakushukuru kwa mafunzo. One of my bad side!
 
Last edited by a moderator:
tatizo unakuta mwingine ndo tabia yake so inabidi umuelewe, umkubali vile alivyo na ajitahid kumrekebisha polepole.
Ikishindikana unakubaliana na hali na maisha yanasonga.

maisha yatasonga huku full kero?
 
Hahah.... Msamaha mpaka uambiwe na kuombwa uuombe lol

sijawah kuambiwa niombe msamaha, hata siku moja this thing must come direct from ma heart and to one i love nitajitetea hadi tone la mwisho kwa upole na hekima ili nisimkose. wafanya mchezo na kuachika eeh! pasikie kwa mwingine aisee inauma.
 
Unafikiri ni muda gani mzuri wa kuomba msamaha? Ulipotenda kosa kabla hujastukiwa? Au unapostukiwa umetenda kosa? Na ukistukiwa umetenda kosa, ukaambiwa kosa lako ukalikana mpaka unapothibitishiwa kosa lako utaombaje msamaha? Na kama una makosa mengine uliyoyafanya bado utaendelea kuyaficha ukisubiri uthibitishiwe ndo uombe msamaha?
 
most people are sorry for being caught
and not sorry for what they have done

basi huo ni unafiki aisee manake nijuavyo mimi kosa hutokea ama kwa kujua ama kwa kutokujua ila unapolibaini basi lazima udhamirie kutolirudia tena na huwez sema naomba samahan kwasababu nimabambwa ujue kabisa kwamba lazima ipo siku utaumbuka tu.

lakini pia kuna wakati ambapo unabaini kosa ila namna ya kumwambia mtu kwamba nimekukosea unashindwa hapa unasubiria aje akwambie yeye mwenyewe na siyo wewe kujishtaki
 
Unafikiri ni muda gani mzuri wa kuomba msamaha? Ulipotenda kosa kabla hujastukiwa? Au unapostukiwa umetenda kosa? Na ukistukiwa umetenda kosa, ukaambiwa kosa lako ukalikana mpaka unapothibitishiwa kosa lako utaombaje msamaha? Na kama una makosa mengine uliyoyafanya bado utaendelea kuyaficha ukisubiri uthibitishiwe ndo uombe msamaha?

muda mzuri sana ni pale unapoambiwa kosa lako lakini pia lazima uwe na tekniki kwamba nikikurupuka kukiri tu hatima yake ni nini? so unapima kwanza kina cha maji ukiona kiko deep ndipo unapokiri kosa la ukweli na kuomba msamaha na hii humfanya aliyekosewa kuona jinsi gani ambavyo wewe una pigania penzi kama hujui. wafikiri watu kanini wanajitetea? wanapigania penzi asikwambie mtu.
 
Hujajibu maswali yangu yote.
 
Hujajibu maswali yangu yote.

read btn the lines Asprin na kwa kipengele cha mwisho lazima uwe ni mtu ambaye ni very trustful kwani hakuna maana yeyote ya kufunika moto kwa gunia.naamini hadi nafika kukiri na kuomba msamaha nimesha jifanyia tahmini ya mienendo yangu na kwanini kuishia kutenda kosa husika so nitatafuta njia ya kutoka hapo na siyo kuficha mengine. so sitosubiri makosa mengine
 
Na kama una mengine uliyokuwa umeyaficha utaendelea kusubiri mpk ayastukie? Na akiyastukia afu akakuambia tena kwa uthibitisho utaombaje msamaha?
 
Last edited by a moderator:
The Boss hiyo ipo sana na wala sio la kujificha
yaani unaweza kufikiria may be anafanya kusudi au vipi maana anarudia kitu kile kile ambacho ulimsamehe nacho

Hata wanaume pia wana tabia ya kurudia rudia makosa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom