KENNY JEEZY
JF-Expert Member
- Apr 19, 2015
- 269
- 267
Habari wakuu
Kuna nyumba inanisumbua na kupasaka kwa nyufa chini na ukutani na zilishawahi kuzibwa mara moja lakini naona zinaanza kujirudia vile vile kuaashiria chanzo cha nyufa bado kipo pale pale.
Katika nyumba zima si kwamba hakuna nyufa lakini chumba kimoja ndio kimeadhirika Zaidi
Kwenye picha ya kwanza niliyoweka hapa ukiaangalia bedroom 1 utaona kuna nyufa ya floor kutokea upande mmoja mpaka mwingine, na picha ya pili inaonyesha pande mbili za ukuta (magharibi na kaskazini) kumetokea nyufa zingine za mlalo panoja na wima kwa upande wa dirishani.
Wadau naombeni ushauri namna bora Zaidi ya kudhibiti nyufa hzi zisitokee tena. Eneo lenye nyumba lina udongo mfinyazi la kwenye msingi kulijazwa kwaru
Sent using Jamii Forums mobile app