Namkumbuka kwa mengi mchungaji Mtikila

Prince Mhando

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
9,595
12,086

" Mimi kugombea urais kwangu siyo tatizo, ila nataka kuweka mambo sawa.
Hata nisipogombea hiyo hainizuii kwenda mbinguni.

Kwanza mtu mwenye uchu wa madaraka ya kwenda Ikulu anatakiwa kuepukwa kama ukoma."

Nukuu ya mwanasiasa na mwanaharakati mkongwe, marehemu mchungaji Christopher Mtikila, siku chache kabla ya kifo chake.

Mtikila alifariki October 4, 2015 kwa ajari ya gari katika kijiji cha Msolwa, Chalinze mkoani Pwani. Alizaliwa mwaka 1950 mkoani Iringa.

Ikiwa ni mwaka sasa tangu atutoke Mchungaji Mtikila anakumbukwa kwa kuwa mtu mwenye misimamo mikali na asiye ogopa chochote huku akikumbukwa kwa kuwa mstari wa mbele kudai uhuru wa Tanganyika na mara kadhaa alichoma moto bendera ya Tanzania na kumtukana waziwazi rais wa kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius Nyerere.

Mpaka anafariki Mchungaji Mtikila ameacha shauri Mahakama Kuu ya Tanzania akipinga kuzuiwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Tanzania ( NEC ) kugombea urais kupitia chama chake cha DPP katika uchanguzi mkuu uliofanyika wiki chache baada ya kifo chake

20151008_141038_4.JPG

Mwenyezi Mungu akulaze mahala pema peponi mzee wetu umetangulia naamini mema uliyoyafanya yatabaki kufanya ukumbukwe daima
 
Namkumbuka kwa mengi pia pale aliposema mgombea furani ni maiti kilichotokea mmmmmmm Huyu Mungu
 
Mungu alimlaani, unamwita binadamu mwenzako maiti inayotembea kwa sababu anaumwa, halafu waziri mwingine naye akarudia maneno hayo hayo, ndipo hasira za Mungu zikawaka, Mungu akawapiga pigo kuu wote wawili, mwenzao yupo hai mpaka leo anadunda tu bila wasiwasi
Hata wewe utakufa....regardless u mwema au muovu.
 
Ishu ni kwamba usiwakashifu wagonjwa
Ndugu yangu...wapo wagonjwa wengi tu wanakashifiwa na wanaowakashifu hawafi.

Hukumu ya muumba ipo, la msingi si kila anayekufa amelaaniwa. Hiyo ni hukumu yetu sote.....na tutaadhibiwa kwa makosa yetu.

La muhimu ni kujikurubisha kwa muumba kwani kutasaidia kupunguza makosa tuyatendayo kila siku
 
Hebu soma vizuri maelezo yako halafu linganisha vizuri na maelezo yangu
 
Back
Top Bottom