Namkubali sana Muigizaji Mwijaku, ila kwa haya aliyoyasema nitamkatalia hadi pumzi yangu ya mwisho duniani

Hahaha basi alikua anajitapa tapa ooh Udsm Udsm mara wasomi sijui nini maneno mengi sana
Kama alidisco MZUMBE sio kwamba hana uwezo... nasisitiza sio kwamba hana uwezo kichwani.. MZUMBE KUNA NAMNA ILIVYO PALE.. Kinachowaondoa watu wengi pale ni ile system yao ya kipekee.. ACCUMULATION YA SUPP.. yaan sup za semester I zinajumuishwa na zile za Semester II zikifika 4 umedisco.. vivo hivyo kama ulikuwa na CARRY ukashindwa chomoa then ukapata SUPP wanajumuisha UNADISCO..
Wabadili ule mfumo waendane na wenzao UDSM nadhani watapata matokeo chanya
 
Unaelewa maana ya msemo huu kipendacho hula nyama mbichi.. unatokea kumpenda mtu kwa sababu kwa macho yako wewe au sababu zingine hujaona kasoro..Na kama ukiona kasoro huwezi kumpenda au kuishi kwa amani
 
Hahaha basi alikua anajitapa tapa ooh Udsm Udsm mara wasomi sijui nini maneno mengi sana
Alivyodisco Mzumbe ndio nadhani akaenda Ud

Huyoo jamaa alikua tapeli sana Mzumbe,alikua anatapeli hadi magodoro,ametapeli sana first year waliokua na supp kwamba atawasaidia kuwatolea akawa anawapiga pesa!

Alikua na kesi hadi na chuo!
 
Kwa vile yeye amekua msemaji wa mambo ya watu ngoja na sisi tumzungumzie ya kwake!

Kumbe! Ila nadhani kama ni hivyo basi ingekuwa very fair kama na Wewe pia ungejiweka wazi hapa kwa Majina yako halali ili wale wanaokujua nao waweze Kufunguka zaidi kwa Makandokando yako na kuna uwezekano huenda ya Kwako Wewe yakawa ni makubwa, mabaya na hata ya Kudhalilisha kama si Kukera na Kutia aibu pia.
 
Labda nikuulize wewe kuleta suala la mke wake Mwijaku wewe linakuhusu nini? Je hili siyo personal? Mbona wewe hujamuweka mkeo kwanza kabla ya kumzunguzia wa Mwijaku?

Unapokua na makando kando yako huna moral authority ya kuwasema wengine wakati wewe mwenyewe una tenda hayo hayo!

Akikosolewa mnakimbilia kusema ni personal ila yeye kunzungumzia wengine mambo yao siyo personal
 
" Namshukuru Mungu amenipatia mke mwema sana ana sifa zote nilizokuwa nazitaka, hana kasoro kabisa mke wangu " @mwijaku #Clouds360 #CloudsTV

Ninachojua Mimi hata Mwanamke awe Mzuri ( Mrembo ) kiasi gani ila ni lazima tu atakuwa na Kasoro yake tena Kubwa tu sasa Kitendo cha huyu Muigizaji Mwinjaku ambaye nakubali sana Kazi zake kutokana na Kipaji chake Kikubwa cha Uigizaji kusema kuwa Mwanamke aliyenae Yeye ( Mkewe ) hana Kasoro yoyote ile nitambishia hadi pumzi yangu ya mwisho katika Ardhi hii ya Tanzania.

Ombi langu tu kwa Wanaume hata kama tunawapenda Wapenzi wetu / Wake zetu Kiasi gani ila tusijiaminishe sana kuwa hawana Kasoro yoyote kwani Wao siyo Malaika bali ni Binadamu tu kama Binadamu wengine ambao hata Kiumbwaji imeshathibitishwa kuwa hakuna Mwanadamu aliyekamilika sasa iweje Muigizaji Mwinjaku atudanganye Watu wazima hivi kuwa Mkewe ( Mpenziwe ) hana Kasoro yoyote ile?

Naamini Muigizaji Mwinjaku hakumkukuta huyo Mkewe ni Bikira hili kwa mfano leo hii wakijitokeza Wanaume ambao walikuwa na Mahusiano nae huyo Mwanamke wake na wakafunguka mengi zaidi tena hata ya Sirini kabisa ya Kumuhusu Yeye ( Mwinjaku ) atajisikiaje? Je ana Moyo wa Kuhimili ufungukaji wa Watu kuhusu huyo Mwanamke anayemsifia kuwa hana Kasoro yoyote?

Tujadili.

Hamna Binadamu asie na kasoro,labda mwenzetu kaoa malaika labda
 
Mtu aseme mke wake hana kasoro wewe unaumia!

Kama wewe unaamini kila mtu ana kasoro sababu ya Imani yako ni wewe. Si kila mtu ana Imani sawa na wewe let alone uwepo wa Mungu.

Kasoro walizoona boyfriends wake wa zamani zinaweza kuwa sifa kwa jamaa wa Sasa. One's man trash is another man's treasure.
 
Alivyodisco Mzumbe ndio nadhani akaenda Ud

Huyoo jamaa alikua tapeli sana Mzumbe,alikua anatapeli hadi magodoro,ametapeli sana first year waliokua na supp kwamba atawasaidia kuwatolea akawa anawapiga pesa!

Alikua na kesi hadi na chuo!
Hahahaha daaah kumbe ana kasumba na kashfa za kufa mtu basi itakua anajiona mkali sana hapo alipofika kama vipi akiweka upuuzi itabidi nitie comment "vipi kuhusu ku disco mzumbe tusikie anazungumziaje hilo swala" nadhani mvua ya matusi itahusika sana...
 
Labda nikuulize wewe kuleta suala la mke wake Mwijaku wewe linakuhusu nini? Je hili siyo personal? Mbona wewe hujamuweka mkeo kwanza kabla ya kumzunguzia wa Mwijaku?

Unapokua na makando kando yako huna moral authority ya kuwasema wengine wakati wewe mwenyewe una tenda hayo hayo!

Akikosolewa mnakimbilia kusema ni personal ila yeye kunzungumzia wengine mambo yao siyo personal

Alikuchapia nini Demu / Mkeo hivyo huu Uzi umekupa nafasi ya Kipekee kabisa Kumaliza Hasira zako Kali dhidi yake?
 
Alikuchapia nini Demu / Mkeo hivyo huu Uzi umekupa nafasi ya Kipekee kabisa Kumaliza Hasira zako Kali dhidi yake?
Kumkosoa mtu haimaanishi kuna kitu labda amewahi kukufanyia!

Kwahiyo tuseme wewe kupingana na kauli ya Mwijaku(mwenye mke) kuhusu mke wake ni wivu?au Mwijaku alikuacha hivyo umekuja kumaliza hasira zako kali kwa uzi wako?
 
Hasira zako za Kipuuzi na zilizojaa Uswahili mwingi kwa Mwinjaku sasa zimeisha au bado unazo ili uzimalizie kabisa Kiongozi?
 
Hasira zako za Kipuuzi na zilizojaa Uswahili mwingi kwa Mwinjaku sasa zimeisha au bado unazo ili uzimalizie kabisa Kiongozi?
Nafikiri ungekua unamfahamu huyo Mwijaku vizuri na matatizo aliyowasababishia baadhi ya watu usingekua unamtetea hapa!

By the way tufanye nimemaliza hasira zangu kwa leo!

Jioni njema Mkuu!
 
Back
Top Bottom