Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzuri kivipi?..She is beautiful?..najua binadamu wote sisi ni wazuri thoughAnatangaza vizuri..
Ila Dada mzuri huyu khaaa
Can't agree with you!Anatangaza vizuri..
Ila Dada mzuri huyu khaaa
Hiyo imekaa njema..Tuangalie talent yake...
"Sasa mzee mbona umeacha sahani mezani hapo"..shemeji yako atakufukuza hapo kwake..Sister katoka kumkubali sasa hivi wakati nipo nakula. Mimi sikuwa namjua kabisa
Mwali, hiyo paragraph ya pili bado ninaitafakari zaidi kuhusiana na uzuri unao uzungumzia...Anatangaza vizuri..
Ila Dada mzuri huyu khaaa
Sure, she's very talented...Tuangalie talent yake...
Nauzungumzia ule uzuri as uzuri ule mnaouonaga kwa wadada wengine.Mwali, hiyo paragraph ya pili bado ninaitafakari zaidi kuhusiana na uzuri unao uzungumzia...
Dahhhhh.....Nauzungumzia ule uzuri as uzuri ule mnaouonaga kwa wadada wengine.
Ila Dada mzuri huyu khaaa
Niliposoma hapo nikarudi kutazama picha, akili ikanambia wamepost picha ya mtu mwingineMwali, hiyo paragraph ya pili bado ninaitafakari zaidi kuhusiana na uzuri unao uzungumzia...
😂😂😂 ՏᗩᗰTᗩIᗰᘔ tuwe serious kdgo ....🙌😂😂😂😂 enewei,ni mtazamo wako...Ila Dada mzuri huyu khaaa