Namkubali sana Joseph Mihangwa wa Raia Mwema!!

Naipendatz

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
5,080
8,217
Huyu jamaa makala zake huwa nazipenda sana. Kwanza jamaa hafungamani na upande wowote, yeye ni mzee wa kushusha nondo tu!

Nimeanza kufuatilia makala zake tangu enzi hizo yupo Rai ya ukweli hadi this time! Mara nyingi kabla sijasoma makala zake huwa nahakikisha nimeshiba, emotionally fit na sina stress zozote, kwani makala zake hunigusa pamoyo! Iwe ni local, international or kijiji based jamaa huwa anatwanga kotekote.

Haijalishi yupo uhuru, tz daima, rai, mwanahalisi etc jamaa huwa nafuata maandishi yake popote anapoandika.

Anayemfahamu vizuri jamaa naomba angalau kidogo anipe history yake, alipopitia and other things
 
Hata mimi huyu jamaa namkubali sana. Makala zake zina mafunzo ya ukweli! Ni vgumu kuacha kusoma Raia Mwema kama ulishawahi kusoma makala hata moja tu ya huyu jamaa!
 
Ni mfano wa kuigwa ktk aina yake ya uandishi. Ananikuna-ga sana kwa makala zake!
 
Ni miaka Karibu 13 sasa toka Rai hadi Raia mwema kazi yake naona ni Cut and Paste" juu nani Alimuua karume, nani alichagiza mapinduzi zenji, okelo na maisha ya Abeid Karume, Mi cjaona jipya Zaidi ya hayo, nimejaribu kupitia tena Raia mwema za mwezi Kama huu Mwaka Jana ziko na stories Kama za Leo, inakuwaje Kwani haoni wenzake wanakuja na fikra mpya? Hasomi ya akina ulimwengu, rajab, na mwandishi wetu (ulimwengu) mbwambo na vimisemo vyake vya kigiriki etc. Please Raia mwema mshaurini Joseph Mihangwa abadilike hii cut and Paste siyo.
 
Huyu jamaa makala zake huwa nazipenda sana. Kwanza jamaa hafungamani na upande wowote, yeye ni mzee wa kushusha nondo tu!

Nimeanza kufuatilia makala zake tangu enzi hizo yupo Rai ya ukweli hadi this time! Mara nyingi kabla sijasoma makala zake huwa nahakikisha nimeshiba, emotionally fit na sina stress zozote, kwani makala zake hunigusa pamoyo! Iwe ni local, international or kijiji based jamaa huwa anatwanga kotekote.

Haijalishi yupo uhuru, tz daima, rai, mwanahalisi etc jamaa huwa nafuata maandishi yake popote anapoandika.

Anayemfahamu vizuri jamaa naomba angalau kidogo anipe history yake, alipopitia and other things
aaaahh! anatwanga kotekote kama Cameroun kamanda?
 
Mihangwa ni wa kupigiwa mfano! Nakumbuka enzi hizo kabla ya gazeti la RAI halijanunuliwa na MAJAMBAZI huyu jamaa alikuwa kiboko. Kitu cha kumshauri Ulimwengu ni kuwarejesha waandishi mahiri aliowapika kule HABARI CORPORATION kabla haijanunuliwa awarejeshe ama awaombe wawe wanatoa makala kama hizi za Mihangwa.
Nawakumbuka Freeman Mbowe, Balinagwe Mwambungu, Chris Rweyemamu, Gideon shoo kabla hajanunuliwa na majambazi waporaji wa uchumi wetu, Salva Rweyemamu kabla ya kuitwa pale Magogoni, Prince Bagenda na Majid Mjengwa ambaye ni mtata sana knye makala zake mana ana rangi nyingi sana huwez kumjua ameegemea wapi.
RAI yangu kwa Jenerali awaombe hao jamaa waje wamsaidie MSOMAJI RAIA kuliboresha gazeti lake mana kwa mtizamo wangu, RAIA MWEMA ya sasa ina waandishi wachache wenye viwango vya akina Mihangwa.
 
Busar nakuunga mkono. Nimemfahamu J Mihangwa tangu enzi za Rai ya kale, makala zake nyingi ni marudio. Aghalabu huongelea mapinduzi, muungano na ujamaa na kujitegemea, hatoki nje ya hapo. Dunia inabadilika, imatakiwa abadilike nayo km wenzake akina Mbwambo, Ulimwengu na Jabir Idrisa. Aghalabu hawa wanagusa makala zao kulingana na kilichopo hewani muda huo. Namisi sana makala za Balinagwe Mwambungu, Dr Gideon Shoo na wenzao wa Rai ya miaka ile.
 
Huyu jamaa makala zake huwa nazipenda sana. Kwanza jamaa hafungamani na upande wowote, yeye ni mzee wa kushusha nondo tu!

Nimeanza kufuatilia makala zake tangu enzi hizo yupo Rai ya ukweli hadi this time! Mara nyingi kabla sijasoma makala zake huwa nahakikisha nimeshiba, emotionally fit na sina stress zozote, kwani makala zake hunigusa pamoyo! Iwe ni local, international or kijiji based jamaa huwa anatwanga kotekote.

Haijalishi yupo uhuru, tz daima, rai, mwanahalisi etc jamaa huwa nafuata maandishi yake popote anapoandika.

Anayemfahamu vizuri jamaa naomba angalau kidogo anipe history yake, alipopitia and other things

anaandika sana,nikupe namba yake umcheck!
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom