Namkubali sana Joe Kusaga na ni role model wangu lakini kufanya naye biashara ni 'risk'

Naona kijana wa WCB unatoa povu baada ya kudondokea pua...tatizo wcb mnapenda kujifanya nyi mnamafanikio sana kuliko wenginena kuwaona wasanii wengine bongo kama umbwa

Hao wengine ni wapi waliofanikiwa na kubaki juu kwa muda mrefu? Don’t hate mtu akitumia tricks tofauti na kuendelea kufanikiwa. “Hawapendi kujifanya” ila wamejitahidi kurekebisha makosa ya wengi wanayofanya kutoa wimbo mmoja halafu huwasikii tena. Acheni chuki za kijinga, so furaha yenu washuke ndo muone hawajifanyi?
 
Sio tricks ni ulimbukeni tu wa kijinga....wale watoto wa wcb wana maneno ya shombo sana kwa watu kisa tu wenyewe wana pesa but pesa zenyewe kumbe c kivileeee ni ulimbukeni tu unawasubu...alafu sio furaha yetu washuke ..either wapande.. Washuke or waache mziki c haitupunguzii kitu
 
Back
Top Bottom