CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,786
- 15,732
Kwahiyo ulitaka aende kila nchi huyo waziri wa mambo ya nje wa USA??Umeandika kwa majonzi sana na mabeberu wanamlia mingo tu. Angalia Waziri wa mambo ya nje wa Marekani kaishia Kenya tu. Hapa hawaji.