Namkubali Rais Samia, lakini suala la Mbowe linapunguza mapenzi yangu dhidi yake

Hoja nyepesi zenye negative expectations kuwa eti "katiba mpya haitakua na maana yoyote kwasababu mentality ya tz ni zilezile" ni kichaka cha kujificha mumiani na vijibwa vyake.

Kama una nia njema unapaswa kuamini kuwa katiba mpya ndiyo itabadili hizo unazoita "mentality zilezile za wa tz"
tatizo baadhi yenu mnafikiri kuwa katiba mpya itatoa ahueni ya kisiasa upande flani so mambo mengine yoote mko blind sijui mtakua lin nyie au ndo mntk katiba mpya iwakuze
 
Sio tu Samia Bali CCM Yote kufikiri inchi haitakiwi kuwa na upinzani wa kifikra wanakosea sana na wananchi hawata waelewa kamwe
 
tatizo baadhi yenu mnafikiri kuwa katiba mpya itatoa ahueni ya kisiasa upande flani so mambo mengine yoote mko blind sijui mtakua lin nyie au ndo mntk katiba mpya iwakuze
Hayo ya ahueni ya kisiasa ni mawazo yako wewe binafsi usiniamishie mawazo yako.

Mimi natazama umuhimu katiba mpya kwenye angle ya uwajibikaji wa viongozi kwa kuwapunguzia mamlaka yanayosababisha kukosekana na checking and balance kwenye mihili na sio hizo story zako za ahueni za kisiasa, hizo story zako za uoga wa kisiasa kaa nazo huko kwenu.
 
sawa bwana mkubwa tunatofautiana mitazamo wala usiwe mkali
 
Mkuu rudi shule.. kichwani humo huna kitu.
Kenyatta kakutana na Biden
Kenya inatembelewa na mtu mkubwa wa Marekani huku Tz hakuna kitu. CCM na wewe ndio imeitumbukiza hii nchi kwenye tope. Waza kwa kutumia akili.
 
Siyo wewe mkuu tupo wengi sana kwenye hilo kundi lako
Hata Sabaya pia wamemkosea,walijua alikuwa anatii amri ya amiri.walipaswa kuwarudishia haki zao walitewa vibaya halafu Sabaya wamuondoe kabisa hapa Nchini.
Issue ya SABAYA na MBOWE vyovyote iwavyo ktk tuhuma zao lakini ni doa kubwa sana kiumoja wa kitaifa.
Ni reference moja haitafutika
 
Kwa hao wanaotenda huo unyama kwao wanaona ndiyo njia sahihi
 
Kenyatta kakutana na Biden
Kenya inatembelewa na mtu mkubwa wa Marekani huku Tz hakuna kitu. CCM na wewe ndio imeitumbukiza hii nchi kwenye tope. Waza kwa kutumia akili.
Na wakija Tanzania mtasema mama anauza nchi yenu. Watanzania ni kama hamjui mkitakacho.
 
Back
Top Bottom