Namkubali Rais Samia, lakini suala la Mbowe linapunguza mapenzi yangu dhidi yake

Kweli hatunabudi kumtetea!! Lakini amwachie Mbowe hana madhara kwa watz ,Mbowe hawezi kuwadhuru wtz hata siku moja,,,Siasa zifanyike majukwaani sio magerezani
mbowe aliufyata enzi za magu ila sasa hivi anataka kuonyesha ushupavu wake kwa mama sasa hii ni km provocation hakuna mtu anayeweza kuvumilia, sometimes wapinzan wenyew ndio wanacreate mazingira magumu, walimwita jk dhaifu kikaja chuma wakasema dikteta kaja mama anawabembeleza wanakuja kama huyo hapo juu anasema mama haelew anachofanya, sasa hawa kina mbowe wanatikisa kiberiti halafu mama akiwashushia moto watu wanapiga kelele sa sijui sisi wabongo tunataka nini, binafsi imefikia kipindi wapinzani siwaelewi ila hata mitaan support kwa upinzani km imepungua kiasi flan si kwamba watu wanaikubali sn CCM bali upinzani hauelewek kabisa uko shagalabagala
 
Tunataka Katiba Mpyaaaaa
 
Ndani Ya Ccm Mtu Wa Kupangua Hoja Za Mwamba Mbowe Bado Hajazaliwa
Basi hata waitane huko Dodoma wakae hata kikao cha kamati kuu wajadili waje wamjibu kwa hoja kwanini hawataki katiba mpya na sio kupika kesi ili kumzima mleta hoja.

Mkuki haupigwi konzi.
 
Tunataka Katiba Mpyaaaaa
itasaidia nn km kuna watu wanaamin kuwa mbowe hawez kosea na hata akikosea hatakiwi kukamatwa sasa katiba mpya inatusaigiaje kwenye mazingira km haya, matatizo yetu sisi sio katiba ila vichwa vyetu, si ndio sisi tulikua tunajifukiza kujikinga na hii kitu!
 
Kauli Kali Zipi?
sijui zipi. ila pamoja na mambo yake mengine but mtu km zitto angalau anajitofautisha na wengine kuna kpnd huwa anatoa hoja kali na mifano halisi kabisa afu wahusika wanajifanya km hawaoni vile au hawasikii hoja zake ila hawa wengine ni siasa za matukio tu
 
Hujui Zipi Are You Serious Zitto Ccm
 
What is lesser evil between kauli kali or kum'bambikia kesi mtoa kauli kali??
hakuna lesser evil, evil ni evil tu na kati ya hao wawili hakuna atakaechange kisa kuna katiba mpya maana katiba inakuwa na maana km kuna utii ila km watu hawatii katiba hata iwe nzuri vipi haisaidii kitu,
 
Kwanini Ccm Mnaogopa Katiba Mpya?
nipe mfano wa nchi yoyote ile africa ambayo katiba mpya ilileta ahueni katika mfumo wake wa kisiasa, mabadiliko yanaanzia kwa watu wenyew kwanza, watu wanaoamin mbowe hawez kukosea/kushtakiwa plus wale wanasayansi walioshauri mashine za nyungu zikafungwe hospitali kabisa hapa katiba mpya inaweza isiwe msaada
 
hakuna lesser evil, evil ni evil tu na kati ya hao wawili hakuna atakaechange kisa kuna katiba mpya maana katiba inakuwa na maana km kuna utii ila km watu hawatii katiba hata iwe nzuri vipi haisaidii kitu,
Mahaba yamekupa upofu ndiyo maana unaona kudai katiba mpya ni dhambi inayolingana na dhambi ya kubambikia kesi ya ugaidi.

Mfupa umewakwama kwenye koo mmepanic hadi mnafanya maigizo ya kujichoresha mahakamani kwenye kesi ya kubumba.
 
Back
Top Bottom