zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,216
baada ya uchunguzi wangu wa muda mrefu nimefanikiwa kumjua Alietoa Barua ya kumlipua JAIRO.

namuweka wazi,baada ya kashfa ya udini ndani ya ikulu,Jairo akiwa katibu mkuu ofisi ya Rais,Mzee wa kaya akamuhamisha kwenda wizara ya Nishati na Madini kuwa katibu mkuu ili waibe mihela,Mhasibu mkuu wa wizara ya nishati na Madini wanatoka mkoa mmoja?

Wakati wakicheza huo mchezo mchafu wa kukusanya hzo pesa kwa kila idara,ndipo ile barua ikafika kwa Mh.j.makamba,makamba kwa hasira na kuwa na bifu na jairo pale ikulu akampa hyo barua B.shellukindo wote hao wanatoka tanga,ndipo kopy ikapenya mpaka kwa zito kabwe,olendeka,ndipo shellukindo akajitolea kufa nae.

B.shellukindo alisema hata wakimuua hatosema kamwe,na kutokukiabisha chama cha magamba wakapg kimya.