Nani mwenyeji wa Namibia

Maki J

Senior Member
Mar 22, 2017
154
162
Ndugu zangu habari zenu najua kwa sasa Hali ni tete....Ila hoja yangu ni tofauti na yanayo endelea ktk social network.Nampango wa kuumia Namibia so mwenyewe information zozote kuhusu maisha ya huko anijuze,ikiwemo,biashara,nyumba za kuishi....yani kwa kifupi living coast ya Namibia......natanguliza shukrani zangu za dhati
 
Jifunze kingereza kwanza maana ulichokiandika hapo kwenye mada unakijua wewe na mshikaji wako tu.
 
Ndugu zangu habari zenu najua kwa sasa Hali ni tete....Ila hoja yangu ni tofauti na yanayo endelea ktk social network.Nampango wa kuumia Namibia so mwenyewe information zozote kuhusu maisha ya huko anijuze,ikiwemo,biashara,nyumba za kuishi....yani kwa kifupi living coast ya Namibia......natanguliza shukrani zangu za dhati

Usiende huko, kama unavyosema una mpango wa kuumia...hivyo kwa kuwa mimi sipendi kuona unaumia nakuomba tafadhali usiumie ukiwa Namibia, kule ni mbali nani atakusaidia ukiwa hoi?
 
Hawawezi kukusaidia kitu hawa, kama vipi nenda ubalozi wa Namimbia kachukue maelezo.
 
Sina information ndugu ila ukikosa information huku wewe google tu hiyo nchi... Utapata kila kitu
 
Njoo PM nikupe Maujuzi Nipo Walvis Bay hapa........kumbuka sea never dry and seaman never loose hope
 
Ingia nairaland travel sub-forum wanaija wamefunguka sana kuhusu nchi mbalimbali ikiwemo namibia.
 
Back
Top Bottom