Namib Desert: Moja ya jangwa la kale zaidi Duniani

I am Groot

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
3,730
10,033
Jangwa la Namibia ni kama bahari kubwa ya mchanga wa wenye rangi nyekundu dhahabu ilichukua sehemu kubwa ya ardhi ya Namibia. Ni jangwa pekee duniani linaloungana na ukingo wa bahari.

Jangwa la Namib kama zilivyo jangwa nyingine inadhaniwa kutofikiwa na viumbe ila imekuwa tofauti yake. Namib ni makazi ya nyoka wa jangwa kama kifutu, wadudu , wanyama wadogo kama mijusi na hata tembo.

WAHIMBA: Pia wahimba ni moja ya makabila ya mwisho ya zamani huishi eneo hili.Bado wanaendelea kudumisha mila zao ili kutunza historia ya vizazi vyao. Nyakati za upungufu wa maji, binadamu na wanyama wanawajibika kuwa wabunifu katika namna ya utunzaji wa maji ili kukidhi kiu zao.

Mende wa Namib (beetles) hutumia ukungu wa mawingu unaopeperushwa toka baharini kipindi cha asubuhi kujipatia kiwango kidogo cha maji. Beetle hao hulazimika kupanda usiku mzima katika vilima vya michanga mpaka kileleni na kutulia kukusanya majimaji ya ukungu na unyevu kwenye maganda ya miili yao. Masikini ya Mungu! kumbe katika kufanya hivyo wanawavutia pia maadai zake wanao wawinda kama chakula chao cha kila siku na kuwarahisishia upatikanaji wa maji pindi waliwapo

Makundi makubwa ya tembo huongozwa na jike moja na kuhama toka eneo moja hadi jingine wakifuatilia kwa kuhisi mjongeo wa maji chini ya ardhi kwa kutumia miguu yao minene

Wahimba nao wanajiongeza kulingana na hali yao kimaisha kulingana na uwepo mdogo wa maji. Wanawake wa kihimba hawaogi kwa maji bali wanatumia moshi wa miti shamba inayonukia kujifukiza miili yao kila asubuhi. Badala ya maji, wahimba wanatumia maziwa ya ng'ombe na mbuzi kunywa kukata kiu

Nyumba zao sio za kudumu bali hufanya kuzijengea upya kila wakati mifugo yao inapopata malisho ya kutosha. Nyumba zinajengwa kwa kutumia udongo ukichanganywa na kinyesi cha wanyama ili kutopoteza maji kipindi cha maboresho ya nyumba. Na wajezi kawaida huwa wanawake kwa sababu za kimila mwanaume haruhusiwi kugusa kinyesi hiyo ni kazi ya wanawake.

VIELELEZO KATIKA PICHA:-

~picture (i): Namib lizard a.k.a RANGO.
~pic (ii): rattle snake.
~pic (iii): Beetle
~pic (iv): Namib desert
~pic (v): Himba familyView attachment 1492856View attachment 1492859View attachment 1492857View attachment 1492858

Himba%20family.jpg
 
Na hili jangwa sababu yake kuu Ni uwepo wa mkondo bahari baridi (cold ocean current) wa Banguela, mkondo huu umesababisha anga la Namib kutokuwa na unyevu wa kutosha kwani hakuna mvuke ( steam) unaotoka bahari ya Atlantic.

Jangwa la Namib Ni jangwa baridi.
 
Unamaanisha nini jangwa baridi?
 
Unamaanisha nini jangwa baridi?
Majangwa yamegawanyika kulingana na asili yake, Namib Ni jangwa baridi kwa sababu kuwepo kwa mkondo bahari baridi wa Banguela ambao ndiyo uliosababisha jangwa liwepo.

Eneo la kando kando mwa bahari ya Atlantic upande wa jangwa la Namib Kuna baridi Sana, hivyo kuzuia mvuke wa maji ( evaporation process) ambayo ndiyo husaidia kutengeneza mawingu kutotokea, Hali hii hufanya eneo kuwa na baridi Sana pasipo kuwa na mvua hivyo kuwa na jangwa.

Hata bara la Antarctica Ni jangwa baridi.
 
Yaah hapo sawa sasa nimekuelewa unaongelea nini mkuu.
 
Na hili jangwa sababu yake kuu Ni uwepo wa mkondo bahari baridi (cold ocean current) wa Banguela, mkondo huu umesababisha anga la Namib kutokuwa na unyevu wa kutosha kwani hakuna mvuke ( steam) unaotoka bahari ya Atlantic.

Jangwa la Namib Ni jangwa baridi.
Ulivyoandika Banguela nimekumbuka shule ya msingi ... maarifa ya jamii
 
Jangwa la Namibia ni kama bahari kubwa ya mchanga wa wenye rangi nyekundu dhahabu ilichukua sehemu kubwa ya ardhi ya Namibia. Ni jangwa pekee duniani linaloungana na ukingo wa bahari.

Jangwa la Namib kama zilivyo jangwa nyingine inadhaniwa kutofikiwa na viumbe ila imekuwa tofauti yake. Namib ni makazi ya nyoka wa jangwa kama kifutu, wadudu , wanyama wadogo kama mijusi na hata tembo.

WAHIMBA: Pia wahimba ni moja ya makabila ya mwisho ya zamani huishi eneo hili.Bado wanaendelea kudumisha mila zao ili kutunza historia ya vizazi vyao. Nyakati za upungufu wa maji, binadamu na wanyama wanawajibika kuwa wabunifu katika namna ya utunzaji wa maji ili kukidhi kiu zao.

Mende wa Namib (beetles) hutumia ukungu wa mawingu unaopeperushwa toka baharini kipindi cha asubuhi kujipatia kiwango kidogo cha maji. Beetle hao hulazimika kupanda usiku mzima katika vilima vya michanga mpaka kileleni na kutulia kukusanya majimaji ya ukungu na unyevu kwenye maganda ya miili yao. Masikini ya Mungu! kumbe katika kufanya hivyo wanawavutia pia maadai zake wanao wawinda kama chakula chao cha kila siku na kuwarahisishia upatikanaji wa maji pindi waliwapo

Makundi makubwa ya tembo huongozwa na jike moja na kuhama toka eneo moja hadi jingine wakifuatilia kwa kuhisi mjongeo wa maji chini ya ardhi kwa kutumia miguu yao minene

Wahimba nao wanajiongeza kulingana na hali yao kimaisha kulingana na uwepo mdogo wa maji. Wanawake wa kihimba hawaogi kwa maji bali wanatumia moshi wa miti shamba inayonukia kujifukiza miili yao kila asubuhi. Badala ya maji, wahimba wanatumia maziwa ya ng'ombe na mbuzi kunywa kukata kiu

Nyumba zao sio za kudumu bali hufanya kuzijengea upya kila wakati mifugo yao inapopata malisho ya kutosha. Nyumba zinajengwa kwa kutumia udongo ukichanganywa na kinyesi cha wanyama ili kutopoteza maji kipindi cha maboresho ya nyumba. Na wajezi kawaida huwa wanawake kwa sababu za kimila mwanaume haruhusiwi kugusa kinyesi hiyo ni kazi ya wanawake.

VIELELEZO KATIKA PICHA:-

~picture (i): Namib lizard a.k.a RANGO.
~pic (ii): rattle snake.
~pic (iii): Beetle
~pic (iv): Namib desert
~pic (v): Himba familyView attachment 1492856View attachment 1492859View attachment 1492857View attachment 1492858

View attachment 1492860
Karne hii kuna watu bado wanaishi maisha ya Ujima
 
kuna story nimewahi isikia kuhusu hawa Wahimba
kwamba mgeni wa kiume akienda kutembea kwenye mji wenye mabinti basi huwa anakaribishwa kawa mechi kali mnooo ya ngono kutoka kwa hao mabinti
tena eti hiyo mechi ni free of charge
yaaani ni karibu mgeni
je pana ukweli hapo ndugu mtoa post???
 
Mkongwee kwa kweli sijui kuhusu hilo.
 
Back
Top Bottom