Nami pia mgeni naomba mnipokee

O0ooooh! mkuu paskalina pita ndani bwana, nilidhani yule mgeni aneye fanya timing ya chai asubuhi....umekuja na kuku mkuu? au shuka make mashuka hatuna.vinginevyo utajifunika ngumi. na mbu wa dar. DU uu uu! uuhe!
huhuhuuuuu, mkuu nimefungasha zawadi hatari, nini kuku, mpaka kitanda nimebeba, hahaaaaa!
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom