Nami pia mgeni naomba mnipokee

Humu kila mtu anaitwa 'Mkuu'. Tunaheshimiana sana.

Tunatarajia mada zenye tija kutoka kwako. Karibu sana mdada.

-Kaveli-
 
Asante mkuu kwa ukaribisho, nilikua napita kama msomaji tu na nilikua nasoma comment zako, lakini siku hizi umepotea sana, thanks again
Uunh!!

Purukushani tu za maisha wakati mwingine zinakupeleka mtu mahali pasipo na umeme au intaneti...

Lakini mara moja moja panapo fursa ndio kama hivi tunaonekana hapa...

Tell you what, you got a cutey name!!!
 
Asante sana mkuu
 
Back
Top Bottom