- Thread starter
- #21
Thanks mkuuKaribu jamhuri yetu ya JF humu Magu,Trump na watu wote mashuhuri wamo na tunaheshimiana siyo kuogopana.
Thanks mkuuKaribu jamhuri yetu ya JF humu Magu,Trump na watu wote mashuhuri wamo na tunaheshimiana siyo kuogopana.
Asante kaka nimekupata vyemaHumu kila mtu anaitwa 'Mkuu'. Tunaheshimiana sana.
Tunatarajia mada zenye tija kutoka kwako. Karibu sana mdada.
-Kaveli-
Asante kaka nimekupata vyema
Humu kila mtu anaitwa 'Mkuu'. Tunaheshimiana sana.
Tunatarajia mada zenye tija kutoka kwako. Karibu sana mdada.
-Kaveli-
Mmmhhh ndio wapi huko mkuu?Warmly. Usisite kuja chumbani (PM) kunisabahi kaka'ako. Napenda sana wageni. Wageni huleta baraka.
-Kaveli-
ndagha fijo babuKaribu sana JF mjukuu wetu.
Thanx Xtaper
Asanteee mkuuuu
Ndo wapi huko mkuu?, unaota?
Asante mkuu kwa ukaribisho, nilikua napita kama msomaji tu na nilikua nasoma comment zako, lakini siku hizi umepotea sana, thanks againKaribu sana JamiiForums...
Uunh!!Asante mkuu kwa ukaribisho, nilikua napita kama msomaji tu na nilikua nasoma comment zako, lakini siku hizi umepotea sana, thanks again
Asante sana mkuuUunh!!
Purukushani tu za maisha wakati mwingine zinakupeleka mtu mahali pasipo na umeme au intaneti...
Lakini mara moja moja panapo fursa ndio kama hivi tunaonekana hapa...
Tell you what, you got a cutey name!!!
Mmmmhhh tamuuuuu, huwa navutiwa sana na comment zako hasa mmu na kule siasani daah, keep it up mkuu