K Kesban Member Mar 26, 2009 13 7 Mar 31, 2009 #1 Kwa heshima na taadhima, nawasalimu wapenda maendeleo wenzangu. Tuko pamoja.
Fidel80 JF-Expert Member May 3, 2008 21,947 4,444 Mar 31, 2009 #3 karibu mkuu ila soma kwanza sheria na kanuni za hapa JF kwanza.
Shedafa JF-Expert Member May 21, 2008 802 173 Mar 31, 2009 #4 Asante kwa salamu zako, nasi pia twakusalimu na kukukaribisha. Karibu sana!