Nami naungana na hasira za Musishi kuhusu CCM. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nami naungana na hasira za Musishi kuhusu CCM.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by kinganola, Aug 24, 2011.

 1. kinganola

  kinganola Senior Member

  #1
  Aug 24, 2011
  Joined: Aug 16, 2011
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimebahatika kuiona clip ya Mchungaji Faustin Munishi akikemea pepo CCM,CCM pepo kabisa,shindwa,shindwa kabisa,pepo mchafu,kikwete pepo,shindwa,shindwa kwa jina la Yesu. Unajua nimegundua watu wanahasira sana na mwenendo wa Serikali ya Magamba,kila Mtu anatafuta pa kutolea hasira, tunawangoja Ajaezeera Swahili,tuutarifu ulimwengu yanayo jiri,CCM mmetushika pabaya,ule uoga mliokuwa mnapandikiza eti CCM ikishindwa kutatokea vita,umepitwa na wakati,hapa ni kuzinguana tu hadi kieleweke.
   
Loading...