The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,149
- 2,536
Nipeni ushauri,nataka kufanya application upya
Dah.... Karibu katika chama!!!
#TeamKuvuaPendo
Vumilia atarejea amekwenda kutafuta.
Dah.... Karibu katika chama!!!
#TeamKuvuaPendo
Nipeni ushauri,nataka kufanya application upya
Ngoja nijifikirie!
Sijui nikustiri !
Ama nikuache na kilalo chako!
Kwanza uko tayari kukaa ukewenza? Hutonikondeshea utakae mkuta ?
nimelipenda hilo chama sis, ngoja wallah nitajiunga very soon
nimelipenda hilo chama sis, ngoja wallah nitajiunga very soon
We nakungoja ugeuke
Halafu nimekumis ujue?
Sijui ulikuwaga wapi siku mbili hizi
Hata na wewe?
Kweli kila kiingiacho mjini si haramu !
Na hakuna Mmbu wasio na masika !