Namhurumia yeyote atakayesimama kugombea urais na Magufuli 2020

Ajabu ya Watanzania utakuta familia yako haina chumvi wamekopa dukani, maji mkeo amepanga ndoo kwenye visima vya mtaani tangu asubuhi, mahindi unayo lakini msichana anayasubiria mashine tangu asubuhi kisa umeme umekatika bado jasho linalokutoka unaelekea nyumbani kwa miguu unajifanya ni mazoezi unafanya kumbe huna nauli. Hayo yote ni vigumu kuyaona katika uhalisia wake kwa kuwa umepofushwa na siasa za ujenzi zisizokusaidia wewe kiumbe wa chini. Umeleweshwa tu na kelele za kamata huyu, kamata yule, waite wale, waite hawa, leta pesa hii, leta pesa ile, unaamini siku moja utagawiwa pesa na huyo aliyekudanganya umsifie. Kwa taarifa yako hakuna mabadiliko chanya Tanzania chini ya ccm ndugu yangu. Sarakasi zooooooote unazoziona ni mbinu zile zile za kula na kipofu. Bakia hapo hapo....
kamata mwizi meen. Wewe ni mwizi ndio mana unatoa povu hapa
 
Kwa jinsi anavyopiga kazi lazima mtu aambulie aibu. Mwaka mmoja na nusu wa utawala ameishangaza dunia utadhani ametawala miaka 20. Hongera sana rais wetu. Tulitaka rais wa aina hii.
Ni Mapema mno kusifia Kwenye Uchumi kapwaya 'Time will tell'
 
Kwa jinsi anavyopiga kazi lazima mtu aambulie aibu. Mwaka mmoja na nusu wa utawala ameishangaza dunia utadhani ametawala miaka 20. Hongera sana rais wetu. Tulitaka rais wa aina hii.
Kuleta umasikini kulikoambatana na kuombaomba misaada dunia nzima ndio kufanya vizuri ?

Ni nafuu gani waliyoipata wananchi wa Tanzania ?
 
Kwa jinsi anavyopiga kazi lazima mtu aambulie aibu. Mwaka mmoja na nusu wa utawala ameishangaza dunia utadhani ametawala miaka 20. Hongera sana rais wetu. Tulitaka rais wa aina hii.

Hata mimi namhurumia sana, kwa kuwa kama mwili wake ukiwa umefungwa kwenye kiroba hautapatikana mto Ruvu, basi utapatikana ufukwe wa Kawe.
 
Nisiwe mnafki,kwa mtazamo tuu ambao ni non aligned,..magu hata akisema asizunguke kupiga kampeni 2020,akae tuu aendelee na kaz,atapita kwa 80%.

Sabab wanaomkubal magu ni hii asilimia 80 ambao ndio wa tz maskin, 10% ambao wanajitahid na wenye elim hawamkubal magu, mi natembea mikoan huko na vijijn naona,hata vijiwen mijin,..i see it..n

Kumbuka skuzote maskin humwombea njaa tajir,so hali zilivobadilika za wenye nacho,maskin kwao ni furaha,so hawa maskin ndo wanaijenga hii 80% kataa kubali.
 
Nisiwe mnafki,kwa mtazamo tuu ambao ni non aligned,..magu hata akisema asizunguke kupiga kampeni 2020,akae tuu aendelee na kaz,atapita kwa 80%. Sabab wanaomkubal magu ni hii asilimia 80 ambao ndio wa tz maskin,10% ambao wanajitahid na wenye elim hawamkubal magu,mi natembea mikoan huko na vijijn naona,hata vijiwen mijin,..i see it..n kumbuka skuzote maskin humwombea njaa tajir,so hali zilivobadilika za wenye nacho,maskin kwao ni furaha,so hawa maskin ndo wanaijenga hii 80% kataa kubali.
Uchaguzi ukifanyika leo JPM atapita lakini hata afanye kampeni usiku na mchana, hawezi kushinda kwa 80%. JPM kama atashinda 2020 atashinda kwa kura chache kuliko hata alizopata 2015. Nazunguka maeneo mengi nami, vijijini na mjini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa jinsi anavyopiga kazi lazima mtu aambulie aibu. Mwaka mmoja na nusu wa utawala ameishangaza dunia utadhani ametawala miaka 20. Hongera sana rais wetu. Tulitaka rais wa aina hii.
Ni kweli uchumi unakua huku watu wana njaa
 
Uchaguzi ukifanyika leo JPM atapita lakini hata afanye kampeni usiku na mchana, hawezi kushinda kwa 80%. JPM kama atashinda 2020 atashinda kwa kura chache kuliko hata alizopata 2015. Nazunguka maeneo mengi nami, vijijini na mjini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi, 80% ni ndogo sana, watanzania nafikiri tutampa kura za 85%.
 
Uchaguzi ukifanyika leo JPM atapita lakini hata afanye kampeni usiku na mchana, hawezi kushinda kwa 80%. JPM kama atashinda 2020 atashinda kwa kura chache kuliko hata alizopata 2015. Nazunguka maeneo mengi nami, vijijini na mjini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kuuliza swali......,kwanin watu wasimchague jpm?..naomba majibu
 
Back
Top Bottom