Namfananisha Pierre Liquid na yule mlinzi aliyedharirishwa na waziri Ngeleja pale kwenye ATM. Mungu alimlipia!

Kudo

JF-Expert Member
Nov 2, 2017
1,788
2,000
NI vigumu kumshughulikia bashite, akitoka magu madarakani atamuacha mtu wake ambaye mtu huyo anachaguliwa pia na bashite,sasa hapo unadhani anawezekana ? bashite kumlipia kisasi itachukua miaka sana,usidhani yeye ni mjinga nae ana rafiki zake, mkuu kuna watu ni un touchable na mmoja wao ni bashite,kuna uzi humu leo imewekwa video yeye mwenyewe anadai kawazidi wakuu wake kikazi mambo mengi sana so hawajamfikia

kwa kumalizia tu nikukumbushe kucheza na bashite ni kucheza na jeska, so kumshughulikia mpaka magu akipangiwa majukumu mengine na mwenyezi mungu ya kuongoza malaika huko fildausi

MAENDELEO HAYANA VYAMA, AIR HOSTAGE FANYENI KAZI ZENU KWA UMAKINI
DAB keshachokwa hivi sasa na hakuna mtu wa Magu anaemtaka hivyo njia pekee anayoitegemea ni yeye kugombea urais 2025 kitu ambacho najua atafeli kuanzia ngazi ya wadhamini.

Yule Dogo ajirudi tu watanzania kwa sasa wamemtenga
 
TIBIM

JF-Expert Member
Dec 1, 2017
8,019
2,000
NI vigumu kumshughulikia bashite, akitoka magu madarakani atamuacha mtu wake ambaye mtu huyo anachaguliwa pia na bashite,sasa hapo unadhani anawezekana ? bashite kumlipia kisasi itachukua miaka sana,usidhani yeye ni mjinga nae ana rafiki zake, mkuu kuna watu ni un touchable na mmoja wao ni bashite,kuna uzi humu leo imewekwa video yeye mwenyewe anadai kawazidi wakuu wake kikazi mambo mengi sana so hawajamfikia

kwa kumalizia tu nikukumbushe kucheza na bashite ni kucheza na jeska, so kumshughulikia mpaka magu akipangiwa majukumu mengine na mwenyezi mungu ya kuongoza malaika huko fildausi

MAENDELEO HAYANA VYAMA, AIR HOSTAGE FANYENI KAZI ZENU KWA UMAKINI
Ila kumbuka siasa ni upepo, sio hesabu Jk alitaka Membe amrithi upepo ukageuka,Bashite ni ndoto kuwa mrithi,Atujamkosea Mungu kihivo hadi atuache,maliyamungu makazi yake ya kudumu yatakuwa segerea,wao si wakubwa kuliko Tz ogopa sana watu wakimya wasioongea
 
magnifico

JF-Expert Member
Jan 14, 2013
6,341
2,000
NI vigumu kumshughulikia bashite, akitoka magu madarakani atamuacha mtu wake ambaye mtu huyo anachaguliwa pia na bashite,sasa hapo unadhani anawezekana ? bashite kumlipia kisasi itachukua miaka sana,usidhani yeye ni mjinga nae ana rafiki zake, mkuu kuna watu ni un touchable na mmoja wao ni bashite,kuna uzi humu leo imewekwa video yeye mwenyewe anadai kawazidi wakuu wake kikazi mambo mengi sana so hawajamfikia
kwa kumalizia tu nikukumbushe kucheza na bashite ni kucheza na jeska, so kumshughulikia mpaka magu akipangiwa majukumu mengine na mwenyezi mungu ya kuongoza malaika huko fildausi
MAENDELEO HAYANA VYAMA, AIR HOSTAGE FANYENI KAZI ZENU KWA UMAKINI
Ingekuwa rahisi hivyo Kikwete angemuweka Membe. MiCCM ione hivi hivi lakini kuna muda huwa inajitambua.
 
NYEKUNDU YA BIBI

JF-Expert Member
Oct 27, 2017
2,128
2,000
Omba cgeti cha mbowe,marks zipo hiyo hivyo
Hii hapa
tapatalk_1554312534301.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwanadome

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
4,505
2,000
Nzagamba ngeleja unajisikiaje unapo upitia uzi huuu.muwe mnapunnguza viburii mpatapo hayo madaraka sema ni swala la mfumo tuuu la sivyo hata ubunge usingekua nao.

Ni kama jiwe alivyo na kiburi cha madara, wenzie akina nkapa alivyo waita ikulu kuomba ushauri na Maoni yao.mr nkapa alishauli sana kucha matumizi ya neno SERIKALI YANGU/MAGUFULI bali litumike serikali itokanayo na chama cha mapinduzi. Bado anakomaa na serikali ya magufuli.

USOGA WI KUA KATI MWINA NSONGOO
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom